Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,371
- 111,643
Mashabiki wa Mwamedi..
Hivi kwa nini majini yote yana majina ya kiislamu?
Mashabiki wa Mwamedi..
Hivi huko kwenu kuna majibu gani?Wakristu siku zote wanawatukana Waislam tena bila hoja kabisa.Nimeandika mara nyingi humu JF kwamba chuki hizi zitatupeleka pabaya.Waislamu wana vitu ambavyo kwao wako tayari kufa kuvitetea.Huu ndio upeo wa juu kabisa wa Waumini.JF imekua leo ndio sehemu pekee ambapo heshima na shakshia ya Mtume wetu(s.a.w.w) inavunjwa bila hata uoga na uongozi wa JF uko kimya kisa yanayoansikwa sio msimamo wa JF.HAKUNA MWISLAM ANAYEMTUKUNA YESU(amani iwe juu yake)."Jitieni nira yangu mjifunze KWANGU......."Wanaotutukana wamejifunA kwa nani?????
Halafu wewe ndio uliekuwa unajisifu kuwa wakati mimi niko madrasa wewe ULIKUWA UNASOMA!! teh teh teh teh!
hata maneno mawili ya lugha ya yule mungu wako YANAKUSHINDA!?!
Unauliza KULANA KUMETOKA WAPI!! KUMETOKA KWENYE HICHO KITABU CHAKO UNACHOKIITA KITAKATIFU!!
Halafu unaleta habari ya kukwama kwenye kisiwa! We KWENYE HAYO MAANDIKO YA WAKRISTO KULA NYAMA ZA WATU NA NYAMA ZA WATOTO WALIOWAZAA WENYEWE KULIFANYIKA VISIWANI!!?
Wewe mtoto sio level yangu kabisa! Kwenda kamuite mchungaji wako aje hapa! wewe nenda kule chitchat kwa kina dada! kule utakutana na hio mipasho kama ya kwako!
Mimi naongea na Wale WENYE KUJUA MAANDIKO YAO!
Na mpaka sasa SIJAPATA HATA MMOJA! Woote nyie AKILI KUAMBIWA! Andiko lenu wenyewe! MKIONYESHWA, MNATOA MIMACHO KAMA VILE MMEONA NYOKA!
You talk GARBAGE!
hebu niwekee ile thread ya Bujibuji nijionee yale majina
Hivi kwa nini majini yote yana majina ya kiislamu?
Vipi wewe upo kundi gani...? Unafuta kalenda ya Mwamedi au ya Kipagani....? Ndo maana nimekuambia unarukaruka hapa lakini mwisho wa siku unatumia THE ONLY AND ONLY ONE CALENDER....(THE GEGORIAN CALAENDER)....Hutaki unaacha....
Juzi usiku kucha umeruka madebe na kunywa pombekusherekea mwaka mpya halafu unakuja kuharisha hapa JF kwa mambo yako ya kijinga....
Punguzeni kulalamika na ugaidi mtaanza kuheshimiwa.
Mkuu una maana kwamba tunakosa maendeleo kwa sababu tunatumia mfumo wa kipagani!? Unataka kusema kwa kutumia mfumo huu ni sawa na kufanya ibada za kipagani ndo maana nchi yetu imelaaniwa!? Hebu fafanua mkuu.Tunatumia hio ya kipagani kwani hapa kwetu sio ndio mgumo wenyewe? Jumapili ya kipagani ndio tunapumzika ndio maana hakuna cha maana nchii ina kila kitu lakini walevi watupu
Tunatumia hio ya kipagani kwani hapa kwetu sio ndio mgumo wenyewe? Jumapili ya kipagani ndio tunapumzika ndio maana hakuna cha maana nchii ina kila kitu lakini walevi watupu
Mkuu una maana kwamba tunakosa maendeleo kwa sababu tunatumia mfumo wa kipagani!? Unataka kusema kwa kutumia mfumo huu ni sawa na kufanya ibada za kipagani ndo maana nchi yetu imelaaniwa!? Hebu fafanua mkuu.
Punguzeni kulalamika na ugaidi mtaanza kuheshimiwa.
Nimeisechi sijaipata vp waliifuta
Ni mwaka wa kidini/kikristo. Ndio maana huwa kuna kukesha kiibada kanisani. Ila sijajua kama ibada hii ni ya kuzusha au hata Yesu mwenyewe aliwahi kuifanya/kuhimiza ifanyike.Ndugu wanabodi,naomba msaada kwa wanaofahamu juu ya huu mwaka mpya ambao huwa tunausherehekea kila tar.01januari. Pia km kuna anayejua chanzo chake. Km kuna mwenye kujua hasa mpangilio mzima ambao ndo unatumika kila mahali,wa masaa,wiki,miezi na miaka. Ulibuniwa wapi na nani? Nawasilisha.
Usichanganyikiwe kijana!
Sisi hatuna haja ya KUPINGA chochote!
Kazi yetu ni KUONYESHA YALIO BATILI NA ULE UPOTOFU WA KUMUABUDU MUNGU WA KWELI!
Miaka yoote mmekuwa.mkigonga milango yetu na kutwambia kuwa mungu ni mzungu!
Na sisi tulikaa kimya miaka yoote ile tukitegemea MTANYAMAZA!
LKN WAPI!!
Sasa tukiendelea kunyamaza MTAPOTEZA WENGI MNO! NA HII DUNIA ITAKUWA SEHEMU CHAFU SANA YA KUISHI!
We si unaona ndoa za kiliberali zilivyojaa makanisani!
Sasa tunyamaze mtujazie balaa mitaani pia!?
Hatta siku moja!
Tutaeleza Jamii KIPI KILICHO CHA HAKI!
Na ule UDANGANYIFU WA KUSEMA DHAMBI ZA WATU WOTE KAZIBEBA YESU LZM TUWAONYESHA NA TUWAAMBIE WATU KUWA. HUO NI UONGO!!
Kila mtu ATAHUKUMIWA kwa dhambi ZAKE MWENYEWE!