ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 651
- 589
Ndugu wanabodi,naomba msaada kwa wanaofahamu juu ya huu mwaka mpya ambao huwa tunausherehekea kila tar.01januari. Pia km kuna anayejua chanzo chake. Km kuna mwenye kujua hasa mpangilio mzima ambao ndo unatumika kila mahali,wa masaa,wiki,miezi na miaka. Ulibuniwa wapi na nani? Nawasilisha.