Mwaka Mpya 2021 umeanza; umejiwekea Malengo yapi? Malengo yangu niliyojiwekea ni haya

Bro pambana sie wengine huku tunawaza kupata Kodi ya kupiga picha maharusini tutaipatia wapi so unajua TRA walivo na hasira
 
Najitahidi sana kupanga mipango mingi ila nikisikia ile kauli ya mipango sio matumizi naishiwa nguvu
safari hii nimeamua kutumia diary nikifuatilia kila matumizi
kweli ienisaidia nimepunguza kwa kiasi fulani matumizi yasiyo na tija na hata ikitokea nimetumia najitafutia likizo
mfano kama nina bajeti ya kunywa bia tatu na kutoa offer bia mbili kwa siku na kufanya wastani wa bia tano kwa siku basi ikitokea umetumia bia 15 kwa siku kwa offer na wewe mwenyewe unahitaji kupumzika kwa siku mbili kufidia.
 
Najitahidi sana kupanga mipango mingi ila nikisikia ile kauli ya mipango sio matumizi naishiwa nguvu
changgamoto kubwa ninayoiona kwangu inayotukabili ni jinsi ya kutumia muda tulionao na unaotumika tukilinganisha na kipato pamoja na muda tunaotumia kupata hicho kipato ili kiweze kufadhiri mahitaji yetu ya kila siku na mwisho wa siku tuishi in peace not in pieces katika umri wa miaka 70
 
Of course mambo ya time management ni muhimu pia, hasa ukiweza kujimanage ili kuweza kupata kipato cha ziada.
 
tabu hautaki kwenda likizo umeganda balaaaaaaa!
Likizo kivipi? Kama huendi likizo si unatakiwa ulipwe Mara mbili na Muajiri wako??

So unakuwa umegenerate kipato zaidi
 
Back
Top Bottom