Nyani Ngabu: kichwani mwako kimeingia mdudu gani anafukunyua akili zako.Huu mwaka mmoja tokea awe madarakani umetuonyesha mengi na sasa tunaweza walau hata kuanza kuhitimisha kuwa kumbe wala hayuko tofauti kivile na wengine na huenda akawa ni bomu kabisa kuliko wote waliomtangulia.
...
Juzi sherehe za uhuru zikafanyika. Maajabu! Manake mwaka jana hakukuwa na sababu ya kusherehekea kwa sherehe kubwa kwa ajili ya gharama kuwa juu lakini mwaka sijui hakukuwa na hizo gharama...
Sasa leo yamekuja haya ya kufanyia mikutano ya CCM ikulu.
...
Mikwara yote ile kumbe hamna lolote...bora hata gesi ya CocaCola...[/B]
umenena, hili jambo limenichukiza na kufuta kila jema alilowahi kujaribu au hata kulifanya.SPIDI YA MKOJO.....Huu mwaka mmoja tokea awe madarakani umetuonyesha mengi na sasa tunaweza walau hata kuanza kuhitimisha kuwa kumbe wala hayuko tofauti kivile na wengine na huenda akawa ni bomu kabisa kuliko wote waliomtangulia.
Wahshi kabisa....you will go down as the worst president in the history of our existence...past...present...and future!
Mikwara yote ile kumbe hamna lolote...bora hata gesi ya CocaCola.
NB: Pia iliwahi kuripotiwa kuwa angetuonyesha pay stubs za mshahara wake. Kumbe ilikuwa ni uongo tu. Mpaka leo hamna kitu na hakuna anayejali [ukiacha mimi labda].
Kama umeelewa alichokiongea jamaa then nawewe ukaongea ukiwa unamaanisha alichokiongea you are still great thinker otherwise this is beyond your etcUnapotosha umma..una uhakika pogba hajawahi funga goli tangu asajiliwe na Man U??
JE unajua kuwa goli alilofunga pogba dhidi ya Swansea ndio goli bora mwezi Old trafford... kama hauna fact bora ukae kimya..Idiot
NB: Pia iliwahi kuripotiwa kuwa angetuonyesha pay stubs za mshahara wake. Kumbe ilikuwa ni uongo tu. Mpaka leo hamna kitu na hakuna anayejali [ukiacha mimi labda].
huu uzi ni nzuri sana mtoa post ww n mtu makini sana uzi bora kabisa
big up

Wapi kamtaja kwa jina lake..?yaani wewe, unathubutu vipi kumwita Mh, Dr Magufuli kuwa ni bomu?
unafikiri jf ni.mali ya lumumbaNyani Ngabu: kichwani mwako kimeingia mdudu gani anafukunyua akili zako.
Nahisi kama umekata tamaa vile. Kwa vyovyote vile unajua ulitendalo na siwezi kukusemea moyoni. Umediriki hata kuandika kwamba "you are smart".
1) Naanza kuamini kwamba nawe hauko kivile ukilinganisha bandiko zako za awali na za sasa. Unaweza kuwa bomu la JF likalipuka na kuangamiza jukwaa letu la kupumulia mahasira yetu.
2) Niamini kuwa una takwimu za matumizi ya sherehe za Uhuru za mwaka huu, kiasi cha kupiga dongo hilo kwa utawala. Mtu makini, mwenye busara na akili pevu angerejea na kuchambua hotuba yake kuhusu sababu alizozitoa za kufanya sherehe mwaka huu na siyo mwaka jana.
3) Kama nilivyodokeza kwenye 2) hapo juu ungerejea na kuchambua hotuba yake kuhusu sababu ya kufanyia kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Ikulu.
Rais Magufuli kwangu namwona kama mwanasiasa wa vitendo, na kwa jinsi hiyo, wanasiasa uchwara na wale wanaoendesha siasa za mikutano ya hadhara na maandamano, hakika mwisho wa siku watajikuta wako pekee majukwaani au barabarani bila wafuasi. Wafuasi wako mitandaoni wakijificha nyuma ya ID kama 'Nyani Ngabu' na wenzake.
Mikwara yote hiyo "Nyani Ngabu" kumbe hamna lolote...bora hata vijana wa kijiweni!