Mwaka mmoja CCM kwisha

Kwani Lowassa ndio Mgombea wa CDM tayari? Ikulu mtaisikia tu kama yeye ndiye Mgombea! CCM haiwezi kuondolewa na makapi yake hata siku moja na mazingira ya 2015 hayatakuwa sawa na 2020!
Umetoka mapovu mengi sana ! Kisa nini ?
 
Wapo chali ndembendembe yani wamebaaaaana hatimae 2020 wanakuja iachia nchi kiulaiiiniii
 
Wapo chali ndembendembe yani wamebaaaaana hatimae 2020 wanakuja iachia nchi kiulaiiiniii
 
Chama chenu japo mnaamini ni wapinzani kinaongozwa na ccm pia ....mmewekwa katikati hamjijui tu....MNAJIDAI MNAVINGUNGE HAMJUI WAMETOKA WAPI
 
.
.......
.......duh hata creche bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…