Mwaka mmoja CCM kwisha

Kumbukeni laana ya mwalimu,'hatuwezi kukabidhi nchi kwa ma mbwa'
Mkuu ebu funguka tukuelewe vizuri,mambwa ni wapi wale watanzania walio piga kura 6m kuuchagua upinzani?
 
Ulishiba pilau la sikukuu kwa jirani na ukalala usingizi ndio ukaota ndoto baada ya hapo unatuletea uharo hapa.
Umeishiwa hoja badala ya kujenga hoja kutetea hoja yako naona unaweweseka
 
Ila tambua kuwa wapiga kula c wana ccm pekeyake.

Weka uchama pembeni, kiongozi wa sasa ni sahihi kwa wa TZ-kama na ww ulikuwa mpigaji dili pole sana.
Kwa cc watu wa chini-hakuna madhara yoyote yale.
Kutoa magufuli kwa sasa unahisi nani anafaa kuongoza hii nchi??

"Poor politics."
CCM KWISHA , CHADEMA OUT AND KUOZAAAA
 
Naona bado umevikwa kitambaa cha kaniki
 
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
Ww hata si wakutupa tabu sisi kamba yenyewe mguuni haijakutoka!
 
wanataka kukimbia na hawana break? what do they expect kama sio kupigwa kipigo kitakatifu 2020! we will be singing the new victory song called complty independence hureeeeee TANZANIA hureeee CHADEMA hureeeee LOWASA
 
Mleta mada kila unapoanzaga kupata nafuu ya dozi ya HAPA KAZI TU huwa unaingia uvunguni na kushushia viroba vingine, hili ndo tatizo lako ma nyuzi zako zinareflect hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…