Mwaka m1 ndani ya jamii forum

Hongera! I hope umetimiza mwaka bila ban... mbona huchangii sasa? bado upo 70 post, tunahitaji mchango wako. Si unajua Together Each Achieves More? (TEAM)
 
Hongera! I hope umetimiza mwaka bila ban... mbona huchangii sasa? bado upo 70 post, tunahitaji mchango wako. Si unajua Together Each Achieves More? (TEAM)

Nimekupata dada yangu rihanna RussianRoulette t​upo pamoja michango utaiona mingi tu,nilikuwa stationary observer nilisome game vizuri baada la kiulijua ndo nikaanza kuchangia
 
Hongera zako mkuu. Nakutumia nepi na keki! Happy birthday, ila kuwa active, need you both mentally and physically
 
hee ni mwaka mmoja besti ndani ya jf au macho yangu hayaoni vizuri

[ Join Date : 15th October 2010

Location : Enaboishu-Umenyeni
Posts : 14,538
Rep Power : 17984

Likes Received4234

Likes Given3499



QUOTE=King Kong III;2651724]Wadau mambo vipi,leo natimiza mwaka m1 ndani ya JF,nawashukuru wadau kwa ushirikiano wenu[/QUOTE]
 
Hongera kamanda! Jitahidi ufikishe miwili kama mimi .
Btw kama hujala ban hutokua ngangari!
Jitahidi ule ban hata ya 3 days.
 
hee ni mwaka mmoja besti ndani ya jf au macho yangu hayaoni vizuri

[ Join Date : 15th October 2010

Location : Enaboishu-Umenyeni
Posts : 14,538
Rep Power : 17984

Likes Received4234

Likes Given3499



QUOTE=King Kong III;2651724]Wadau mambo vipi,leo natimiza mwaka m1 ndani ya JF,nawashukuru wadau kwa ushirikiano wenu
[/QUOTE]
ladyfurahia hio post ya king kong ni tangia 2011 alipotimiza one year
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom