Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
Kwa mujibu wa ndugu Humphrey Polepole. Kundi la wanamtandao likiongozwa na Jk ndiyo waliopanga njama za kumua ndugu JOHN POMBE MAGUFULI
Hayo aliyasema jana
 
Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
Jana akiwa Morogoro alisema Morogoro ya viwanda inarudi ! Muulize viwanda vipi huwa anamaanisha?
Vile vya magufuli viko wapi ambapo yeyealiķuwa VP?
 
Kwa mujibu wa ndugu Humphrey Polepole. Kundi la wanamtandao likiongozwa na Jk ndiyo waliopanga njama za kumua ndugu JOHN POMBE MAGUFULI
Hayo aliyasema jana
kulikuwepo historia ya Horace Kolimba unaifahamu?
 
Jana akiwa Morogoro alisema Morogoro ya viwanda inarudi ! Muulize viwanda vipi huwa anamaanisha?
Vile vya magufuli viko wapi ambapo yeyealiķuwa VP?
Unadhani SGR ya mizigo imeletwa kufanya maigizo?
 
Back
Top Bottom