Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Ni kweli kabisa, Wafe wote katika hizi siku za usoni.
 
Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Lilipokufa lile lucifa dunia ilishangilia
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lisu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lisu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa Sio tuu Lisu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Duh!....Albadiri hii...?
 
Kufa ni kufa tu kijana hata wewe pia utakufa waliompiga risasi nao watakufa na lissu nae atakufa....ndio dunia ilivyo yaani kufa ingekuwa adhabu ya kundi fulani asee dunia tungetesena sana bahati nzuri uwe mwema uwe mbaya utakufa tu... so kijana chill kufa sio laana ni human nature... hata mimi nitakufa hata unasoma hapa utakufa so sio big deal sana wala sio laana kamwe
Kwa hiyo mtu akikuwahisha kufa kwa kukupiga risasi ruksa au usizuie kifo kwa sababu mwishowe utakufa?
 
Lile adui kubwa lilipo kufa dunia ilipumua
Adui mkubwa ni kifo chenyewe,huyo aliyekufa alikuwa adui Yako Kwa kuzuia wizi,vyeti feki,mishahara hewa na mambo kama hayo,mmawia unapenda rushwa ukamwona adui mkubwa,bila yeye sgr,dom,jnpp isingalikuwapo,RIP Shujaa tunakukubuka sisi wazalendo,siyo act.
 
Magufuli Pombe
Mbona MAALIM SEIF AMEKUFA?
MBONA KAKA YAKE MBOWE AMEKUFA?
MBONA LOWASA AMEKUFA?
MBONA MKAPA AMEKUFA?
MBONA MEMBE AMEKUFA?
mbona kaka yake kikwete amekufa?
KAMA KIFO NI ADHABU MBONA HAO WAMEKUFA? walimpiga nani risasi?
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
"Acha Nipumzike sasa", kwani nawe ni mmoja wao? Umeamua kutuaga!
Mungu akuweke unapostahili motoni.
 
Back
Top Bottom