Mwaka 2010 Bulembo aligombea Udiwani akakosa

Mwaka 2010 Bulembo aligombea Udiwani akakosa

Sasa anaposema jambo moja tu ambalo ccm hawawezi kufanya ni kuiachia ikulu ukawa ana maana ndo mpango wa goli la mkonoa au?
 
Na tume haijasema lolote wala kukemea, dah, mnatupeleka wapi tume jamani kauli kama hizi ni za kukemea tunaomba uchaguzi ukiisha mfute vyama vingi ibaki ccm milele na milele amina
 
Ikulu ya UKAWA ni kule Ngarash Monduli sio Magogoni ya Magogoni ni ya Dr.MAGUFULI
 
Bulembo ndiye ameonekana ana unafuu kwa ccm.kama mgombea anatembelea choki na hajui Saadam ni rais wa nchi gani basi labda Lusinde aka kibajaji
 
Jamani, tusilalamike hivyo maana ili agano la Mungu litimie lazima matukio hayo ambayo Mungu alishayajua yatokee. Mungu alishaona watu wa kusaidia kuiua CCM na ndiyo Mwenyekiti wao (JK) aliongozwa kwa busara zake akawachagua waendeshe kampeni kwa niaba ya CCM.
 
Bulembo hana akili. Taalima yake ni darasa la saba. Yaani Bichwa ni leupe.
 
Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.

Mbowe aligombea urais akashindwa vibaya, lakini ndiye mwenyekiti wa kudumu CHADEMA. Too local
 
Huyu mlembo ni dume...jik..e au jik...e...dume?Maana kwa mipasho yake nahisi nyuma yake kuna bahasha anatoa huduma.Siku zote mtu mwenye akili ya chini huzungumzia watu,mwenye akili ya kati huzungumzia matukio na mwenye akili kubwa huzungumzia mambo ya maendeleo.Huyu ulembo ni hupenda kuzungumzia watu,mgombea urais wake huzungumzia matukio na EdLowas ni mtu wa kuzungumzia maendeleo.So zitambueni akili zao ili msiumize vichwa saaaana
 
Mbowe aligombea urais akashindwa vibaya, lakini ndiye mwenyekiti wa kudumu CHADEMA. Too local

Pia Mbowe ni mbunge wa kuchaguliwa na ndiye anawajambisha magamba hadi kuiga slogan zake
 
Bulembo ndio mpambe anayelazima kuwa lazima ccm ibaki madarakani kwa njia yoyote. Yaani ni mchochezi namba moja huko ccm.

Tafuteni CV yake muone kama kweli tunatakiwa hata kuhangaika na Bulembo. Hata CCM wanajua kosa walilolifanya. Muhimu Bulembo hana tofauti na Kibajaji au Maji Marefu the Prof.
 
CCM haitakubali matokeo endapo itashindwa.?kauli ya mkubwa huyo wa chama ni hatari kwa nchi inayotaka kujenga demokrasia.Ni vema yeye na waliomtuma...kama wapo....wakapimwe akili.na kama akili zao ni timamu basi ile mahakama ya kimataifa iwahusu.
 
Bulembo nimemdharau sana hili gamba, ananifanya nimdhara sana magufuli na team nzima ya kampeni ya magamba

Hapo ndipo ninapowashangaa CCM jinsi timu yao ya kampeni ilivyo. CCM kwa asili ina watu wazuri na wenye hekima ilikuwaje wakatuwekee watu aina ya vibajaji. Hivi hao vibajaji wana hekima na busara kuliko akina Chiligati Mkuchika, Salim, Makinda, Jenister, Anna Abdallah, Asharose, Kinana. Wana watu wengi sana wazuri, wenye hekima na busara lakini sijui ni kwa nini wakawachukua vibajaji. Wanatukatisha tamaa maana ukiangalia vizuri unaona kabisa Magufuli yuko peke yake kwa sababu wengi wa wale 32 waliochaguliwa hawamsaidii. Magufuli atashinda lakini hakika ni kwa juhudi zake mwenyewe na wala si wale wanaoitwa timu ya ushindi ya CCM.
 
mwambie huyo Bulembo kama ameshindwa kuongoza hizo shule zao za wazazi kazi ya siasa hataiweza kamwe,ushauri wa bure huyo hafai kumpigia kampeni hata diwani anazidi kuwapunguzia kura CCM maana maneno yake si tuu yanakera bali ya hovyo
 
Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.

Ha ha ha! hata 2005 wakati TD anagombea urahisi,Bulembo(mwanamtandao) aligombea udiwani pia katika jimbo la musoma mjini kata ya nyasho! Lakini yeye na wenzake,akina Hafidhi na wengine ambao siwakumbuki waliondolewa wote baada ya miaka 2 ya kuwa madiwa kwa kazi nzuri aliyofanywa na afisa usalama mmoja sasa hivi ni Tiss boss kilimanjaro anaitwa Seleman Mombo kufichua ufisadi mkubwa waliokuwa wanaifanyia halmashauri ya mji wa musoma. YANI KILA TENDA ILIYOKUWA IKITOKA,MAKAMPUNI YALIKUWA NI YAO AKINA BULEMBO NA HAO WENZAKE.
 
Eti leo anasimama mbele za watu na kurusha madongo kwa Sumaye! Tatizo la Bulembo anafikiri hakuna watu wanajua story zake chafu za nyuma! Ni mtu wa ajabu sana huyu jamaa
 
Back
Top Bottom