Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.
Aisee tulikula pesa yake duuuh hivi bado yupo huyu kiumbe.. .Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.
Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.
Aligombea kata ya kijitonyama akakosa,mgombea wa chadema.ndio aliyeshinda kata ya kijitonyama,kwa hiyo anajua vizuri mziki wa chadema
Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.
Bulembo kaishia darasa la saba.
TFF waliwahi kumzuia asiwe mgombea wa villa squad kwa sababu hakuwa na sifa ya elimu ya kidato cha nne.
Lofa sana anaropoka hovyo hovyo kama fisi maji.
Bulembo ndo demu gani
Si unaona hata Asumpta naye ameshindwa kura za maoni eti sasa ndo think tank ya magufuli, tusimlaumu sana mhe.anaposema Saddam ni rais wa Kuwait
mwaka.2010 bulembo aligombea udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa ccm,da! Inashangaza sana,kwani ccm hawana washauri wazuri.
sumaye ndio kampeni meneja wa lowasa huku alikatwa kwenye c.c ya c.c.m na pia alishindwa ujumbe nec...