Mwaka.2010 bulembo aligombea udiwani akashindwa lkn cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa ccm,da! inashangaza sana,kwani ccm hawana washauri wazuri
Kama ni kweli ni ukosefu wa muono wa mbali
Mwaka.2010 bulembo aligombea udiwani akashindwa lkn cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa ccm,da! inashangaza sana,kwani ccm hawana washauri wazuri
Mkuu msamehe bure kwani kwa elimu yake ya darasa la Saba ccm ikiondoka madarakani hana pa kwendaBulembo ndio mpambe anayelazima kuwa lazima ccm ibaki madarakani kwa njia yoyote. Yaani ni mchochezi namba moja huko ccm.
ccm ni ile ileSi unaona hata Asumpta naye ameshindwa kura za maoni eti sasa ndo think tank ya magufuli, tusimlaumu sana mhe.anaposema Saddam ni rais wa Kuwait
Ni lofa fulani wa akili ndani ya ccmHuyo bulembo ndiyo nani?