Mwaka 2010 Bulembo aligombea Udiwani akakosa

Mwaka 2010 Bulembo aligombea Udiwani akakosa

Hapo ndipo ninapowashangaa CCM jinsi timu yao ya kampeni ilivyo. CCM kwa asili ina watu wazuri na wenye hekima ilikuwaje wakatuwekee watu aina ya vibajaji. Hivi hao vibajaji wana hekima na busara kuliko akina Chiligati Mkuchika, Salim, Makinda, Jenister, Anna Abdallah, Asharose, Kinana. Wana watu wengi sana wazuri, wenye hekima na busara lakini sijui ni kwa nini wakawachukua vibajaji. Wanatukatisha tamaa maana ukiangalia vizuri unaona kabisa Magufuli yuko peke yake kwa sababu wengi wa wale 32 waliochaguliwa hawamsaidii. Magufuli atashinda lakini hakika ni kwa juhudi zake mwenyewe na wala si wale wanaoitwa timu ya ushindi ya CCM.

BRADHAA!Mimi dereva wa magari makubwa, natembea sana. Magufuli awezi kushinda hata iweje. Binafsi nampa 30% hapo atakuwa amejitaidi sana. By saa nne Lowassa atakuwa ameshinda.
 
Akiwa njaa kali huko musoma aliwahi kumhadaa dada mmoja anaitwa Happy Samson,alikuwa ni mhasibu wa kampuni moja inaitwa Fishpark tz ltd, akamshawishi dada wa watu akapiga hela ndefu zaidi m300 zote akampa Bulembo matokeo yake dada wa watu masikini akapigwa nyavu yeye Bulembo akafungua makampuni kibao ya kupiga mingo.
 
Ha ha ha! hata 2005 wakati TD anagombea urahisi,Bulembo(mwanamtandao) aligombea udiwani pia katika jimbo la musoma mjini kata ya nyasho! Lakini yeye na wenzake,akina Hafidhi na wengine ambao siwakumbuki waliondolewa wote baada ya miaka 2 ya kuwa madiwa kwa kazi nzuri aliyofanywa na afisa usalama mmoja sasa hivi ni Tiss boss kilimanjaro anaitwa Seleman Mombo kufichua ufisadi mkubwa waliokuwa wanaifanyia halmashauri ya mji wa musoma. YANI KILA TENDA ILIYOKUWA IKITOKA,MAKAMPUNI YALIKUWA NI YAO AKINA BULEMBO NA HAO WENZAKE.

Hebu tuelezeni vizuri. Alistaafu au alijiuzulu?
 
Hebu tuelezeni vizuri. Alistaafu au alijiuzulu?

Waliondolewa kwa manufaa ya umma halmashauri ikaongozwa na tume kama ilivyowahi kutokea kwa halmashauri ya jiji la Dar wakati fulani huko miaka ya nyuma.
 
BRADHAA!Mimi dereva wa magari makubwa, natembea sana. Magufuli awezi kushinda hata iweje. Binafsi nampa 30% hapo atakuwa amejitaidi sana. By saa nne Lowassa atakuwa ameshinda.
Nyie madereva chuki kubwa ni kwa ajili ya MIZANI.
 
Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.

Ha ha ha.
Sumaye aliliwa vyeo vyote CCM.
Ndo mpiga kampeni mkuu wa Lowassa. Haha
 
Huyu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi CCM wala siyo mtu wa kumzunguzia. Labda nyie ambaye hamfahamu asili yake. Lakini kwa wakazi wa Musoma waliokuwa kwenye miaka ya 1990 - 2000. Ukimzungumzia Bulembo watakushangaa. Eti amefika CCM anaoneka mali!!!. Musoma tunamfahamu vilivyo, wala hatuhangaishi.
 
Nashauri vya siasa viwe makini wakati vinafanya uchaguzi wa ndani. Bulembo alikuwa na CV zipi hadi mkamkabidhi wadhifa huo azimu. Hivi Bw. Bulembo baada ya kumaliza elimu yako yako ya msingi hapa Musoma uliendelea na masomo au ulianza biashara zako ambazo si mbaya nikiziita zilikuwa za mfukoni? Wana musoma tuna mengi sana juu yake hata wana Kagera wanamuelewa vilivyo. CCM huyu jamaa amechangia kudhoofisha nguvu za CCM, mngekuwa makini angepanda jukwaani kwenye mikoa ambayo hawana back ground yake, kosa mlilofanya Musoma ni kumpandisha jukwaani. Imekula kwetu hapa Musoma.
 
Mwaka.2010 Bulembo aligombea Udiwani akashindwa lakini cha kushangaza ndie mtu anayempigia kampeni mgombea urais wa CCM,da! inashangaza sana,kwani CCM hawana washauri wazuri.
Hata mbatia aligombeaga ubunge kawe!
 
Huyu Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi CCM wala siyo mtu wa kumzunguzia. Labda nyie ambaye hamfahamu asili yake. Lakini kwa wakazi wa Musoma waliokuwa kwenye miaka ya 1990 - 2000. Ukimzungumzia Bulembo watakushangaa. Eti amefika CCM anaoneka mali!!!. Musoma tunamfahamu vilivyo, wala hatuhangaishi.

Kutiki wasu
 
Alishinda uenyekiti wa wazazi kwa kununua watu yani rushwa hana ushawishi wa kisiasa huyo ndo mana anapwaya jukwaani
 
Hat a lowasa aligombea urais kupitia ccm na hakupita hat a kumi bora hakuwemo lakini Leo anagombea urais kupitia cdm VIP hawa washauri wao viziwi name vipofu
 
Back
Top Bottom