ashidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 287
- 334
Waungwana mpo, habari za majukumu!
Niende kwenye mada husika. Mimi nilikuwa nafanya kazi sekta binafsi kwa muda wa miaka mitatu, nikaacha. Baada ya muda wa miezi miwili nikaanza kufanya kazi sekta ya umma.
Je ninaweza kupata mafao yangu kutoka NSSF? Kumbuka kwa sasa nipo PSSSF.
Naomba wataalam wa haya mambo wanisaidie kupata majibu.
Nawasilisha.