gaintoo broisser
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 307
- 378
Habari za jioni wanajamii, mimi ni mzima wa afya ninahitaji Ushauri kwenu wana JF.
Hivi hatua zipi za kisheria unaweza kufata ikiwa mwajiri halipi Mshahara?
Mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja ambayo inasumbua sana kwenye malipo, unakuta Mishahara ya miezi 6 hawajalipa. Siku moja nilienda kuswap kadi yangu ya NSSF nilipofika nikafanya taratibu zote, wakaniambia nafanya wapi kazi ndio nikawaelekeza nafanya kzi kwenye kampuni x.
Wakasema duh, huyo boss anasumbua sana kama wewe unamwaka sasa hajaweka pesa zako wasaidizi wake tuliwaweka ndani kuhusu suala hilohilo sasa tutamtaifisha mali zake aje ajute na kama sisi anatusumbua hivyo vipi nyie mnaofanya kazi hapo?
Nami nikasema hawatulipi mishahara kabisa sasa tunawadai miezi mitatu, nilikuwa moja ya NSSF House.
Nahitaji njia za kufuata kupata haki yangu au taasisi inayoweza kunisaidia, mabosi wapo tayari akudhulumu laki 8 akahonge mahakamani milioni 20.
Msaada au kama taasisi hizo zipo humu naombeni mzitag tupate maarifa. Baadhi ya mabosi wanasema nenda kashitaki popote utaambulia patupu! Inauma.
Najua wapo wengi humu wenye changamoto kama hiyo humu.
@nssftz , TRA Tanzania Tanzania Nchi Yetu Sote