AccomplishedEntrepreneur
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 497
- 861
Mimi nilikuwa mwajiriwa private sector ila mwajiri hakulipa mshahara kwa miezi mitatu mfululizo nikaamua kutoka pale
Katika barua yangu ya kutoka pale sikusema kama najiuzulu maana kikanuni mkataba ulivunjika muda alipoacha kulipa mshahara mmoja tu achilia mbali miezi mitatu mfululizo.
Nilimpa sharti moja tu kwamba anipe papers kwa ajili ya kufuatilia mafao NSSF ila akakaidi.
Kwahiyo najipanga kumshitaki CMA maana nimejaribu njia za kimaridhiano ila yeye anakuwa mkaidi tu.
Madai yangu
1. Mimi sikujiuzulu mwajiri ndie alikiuka mkataba
2. Nahitaji Termination letter
Wataalamu naomba mnishauri :
1. Nafasi niliyonayo kushinda kesi CMA
2. Kuna uwezekano kesi ikabackfire?