Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

We live NATURALLY why should we brainwash?
T.v na technology kama si blankpanther lazima uwe mtumwa kama hao machizi wanashangilia maigizo ya spacex
unazani ni kwa nini branwashing haijawa za the way Around, yani nini ndio tuwabrainwash wao.
 
We live NATURALLY why should we brainwash?
T.v na technology kama si blankpanther lazima uwe mtumwa kama hao machizi wanashangilia maigizo ya spacex
mkuu you can't change anything. Stick kwenye vitu ambavyo utaweza kubadilisha.
 
[emoji23][emoji23]YOU ARE WEAK SANA.kush are FOREVER STRONG WHATEVER HAPPENS WE RULE.ungekuwa na akili unge inspire sio kusupport the ideology za hao wanao indoctrinate,rudi kundini you are an AFRICANA PERIOD.

mkuu jifunze na ujue what to ignore. Mana hata kwenye race yako bado upo level ya chin sana
 
Inamsaidia nini?
.
IMG_20200607_204250_982.JPG
IMG_20200607_160156_583.JPG
FB_IMG_1591513299267.jpeg
FB_IMG_1591486436074.jpeg
images%20-%202020-06-07T140246.924.jpeg
 
The Big Bang Theory hii ni nadharia ambayo inahitaji ithibati ili ikubalike.
Big bang theory ni nadharia ambayo kimsingi imelengwa kuleta vita ambayo hamtaisahau msisahau hii comment.
 
Ila wengi katika watu hii nadharia wanaweza kuikosoa kwahiyo athari yake inabakia kwenye makaratasi tu.
 
Kwa kifupi bigbang mfano ilivyolipuka wanasema ilikuwa ni combination za gases,ok sawa gases ...je hizo gases zilitokea wapi ...whats the source na kingine kuna mdau alisema before big bang kulikuwa hakuna existense ya time maana bigbang ilivyo anza ndo muda ukaanza swali ni je hizo gases ziliwezaje kukaa nje ya muda...ukifikiria sana unakuta tu ni fiction ambazo lengo lake ni kupindua uhalisia wa KUSHITE KEMETI period.
 
Hauko logical..yaan andiko lako halijapangika..unachanganya changanya mambo..

Na nikwambie tuu..fuvu lile la olduvai sio fuvu la kwanza..go back to school

Lile ni fuvu la kale..yaan ni fuvu lenye umri mkubwa kupatikana kwa technolojia ile ya kipind kile ya kina Dr leakey..haimaanish ndo la kwanza ..

Mbona tayar yameshapatikana mafuvu ya kale zaid ya lile au yanayokaribiana na lile tayar sehem zingne huko dunian
 
Shule ambako syllabus anaweka mwenzako?tumia akili mimi nareflect uhalisia wa africa ,thats what am doing ukienda direct lazima watu wasikuelewe meaning ndani ya argumentation ya gumzo ndo watapata real therapy
Hauko logical..yaan andiko lako halijapangika..unachanganya changanya mambo..

Na nikwambie tuu..fuvu lile la olduvai sio fuvu la kwanza..go back to school

Lile ni fuvu la kale..yaan ni fuvu lenye umri mkubwa kupatikana kwa technolojia ile ya kipind kile ya kina Dr leakey..haimaanish ndo la kwanza ..

Mbona tayar yameshapatikana mafuvu ya kale zaid ya lile au yanayokaribiana na lile tayar sehem zingne huko dunian
 
Picha zina masimulizi ,kama huna macho ndugu yangu simamia unacho amini ,ila kwangu mimi picha tu uhalisia unajijenga maana nina fikra huru.

Hivi huo mfumo wa hypothesis umeupata kwa nani?
Hatutaki mapicha tunataka masimulizi yafike mpaka kwa hao wahusika wa mwanzo, kwa chain.
 
Picha zina masimulizi ,kama huna macho ndugu yangu simamia unacho amini ,ila kwangu mimi picha tu uhalisia unajijenga maana nina fikra huru.

Hivi huo mfumo wa hypothesis umeupata kwa nani?
Tatizo huna marejeo na picha huelezewa, lazima utueleze wenye picha hizo wao walizielezea vipi.
 
Back
Top Bottom