Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Amejieleza mwenyewe akiwa ndani yetu ndo maana tunamfahamu

"you are the creator of your own reality"

Utazunguka weee ila habari za Mungu zimetoka kwa mtu kwa njia yeyote ile.
Kuna swali nimekuuliza, nangoje jibu, habari za Mungu wewe unazitoa wapi ? Kwamba amejielezea mwenyewe kwamba yupo ndani yetu au wewe umehisi tu ?
 
Amejieleza mwenyewe akiwa ndani yetu ndo maana tunamfahamu

"you are the creator of your own reality"

Utazunguka weee ila habari za Mungu zimetoka kwa mtu kwa njia yeyote ile.
Leo ngoja nikuonyeshe kwamba humjui Mungu wala huna ushahidi juu ya haya unayo yaandika.

Twende, akiwa ndani mwetu anajielezaje na walati gsni unajua kwamba hapa Mungu amejieleza ?

Nacheka sana, naona aya yako ya mwisho inaonyesha umeshakata tamaa.

Unajua kwamba akili ya mwanadamu kwa yenyewe haiwezi kumuongoza juu ya jema na ovu wala kujua hatima yake, mathalani baada ya kufa hufata nini ? Embu nieleze anajielezea vipi Mungu akiwa ndani yetu
 
Usinihukumu

Milango ya ufahamu inajua fika hili jema hili ovu

Kaa utafakari kwa ufahamu wako na sio kulishwa fikra usizozijua wala kuwa na ushahidi nazo.

Tumia hypothetical thinking ndo utatambua uwepo unaujuaje bila kuambiwa na yeyote ,ndo maana nikasema kuwa endapo wewe utaingia kwenye dhana zilizosukwa na wengine utakuwa tu ni mtumwa jaribu kutafakari binafsi kama mababu zetu,ipo hivi maandiko yote duniani yameandikwa na mwanadamu,na ka ujue kuwa Mungu ndie aliyekuwa ndani ya ufahamu wa mwanadamu na kujidhihirisha.

Maswali yangu huyaoni au ?
 
Labda hujui kusoma
Unapoambiwa unajuaje unatakiwa kuonyesha hatua kwa hatua siyo unanipa tena kazi mimi, hii ni kazi yako, ndiyo maana naendelea kuwa sahihi kukukwambia hujajibu swali langu.
 
We umejuaje ama hayupo?
 
Nilichojibu ndo mwisho hapo,nataka sasa wewe uniambie umemjuaje?
Hujajibu nililo uliza, pili sasa kama unashindwa kunionyesha ni kwa namna gani umemjuaje Mungu wako ?

Mimi Mola wangu nimemjua kwa haya yafuatayo :

1. Mazingira
2. Akili
3. Milango ya fahamu
4. Ufunuo
5. Fitrah/Silika
 
Sasa hapa tunajadili nini,ndo maana nikasema labda hujui kusoma niambie wapi sijazungumzia hayo,sasa kama unatumia hayo unayatumia wewe kama nani kujua?

Umeona

IMG_20200609_133632_174.jpeg
 
Mwafrika ndiyo kiumbe wa kwanza ulimwenguni?

Halafu unatoa ushahidi wa Biblia?

Hata kama tunasema tuamini hiyo Biblia, umeisoma?
 
Ndio

Nimetumia kama sample reference juu ya uumbaji ,maana kizazi cha sasa huamini katika biblia ingawa mantiki nimeilenga tofauti

Biblia nimeisoma ndiyo japo kuna mambo ambayo si kweli nikiwa namaana wakati wa kutranslate either wameuficha ukweli halisi,wanapromote agenda fulani na kuna divine doctrines nyingi zipo excluded japo kuna mengine wameshindwa kugeuza ama kubadilisha kwenye hizo doctrines
 
Unaelewa kwamba kwenye Biblia Adam si kiumbe wa kwanza kuumbwa, na hivyo, hata kama unaamini Biblia, Muafrika hawezi kuwa kiumbe wa kwanza?
 
Ndio

Nimetumia kama sample reference juu ya uumbaji ,maana kizazi cha sasa huamini katika biblia ingawa mantiki nimeilenga tofauti

Biblia nimeisoma ndiyo japo kuna mambo ambayo si kweli nikiwa namaana wakati wa kutranslate either wameuficha ukweli halisi,wanapromote agenda fulani na kuna divine doctrines nyingi zipo excluded japo kuna mengine wameshindwa kugeuza ama kubadilisha kwenye hizo doctrines
Kwanzia hapa Sasa nimeanza kukuelewa vizuriiii Sana. Thailand asilimia kubwa sana vijijini hawana imani ya Mungu wa biblia wengi uamini katika imani ya Buddha. Maana yake ni nini tangu wanazaliwa wanakuta mafunzo na mafundisho kwendana na imani hiyo. Leo ukiwaambia kwa habari za Yesu hamuelewani. Hivyo yawezekana kabisa mengi sana hatuyafahamu tena kwa makusudi ya watu kadhaa walio haribu ustarabu wetu wa awali.

Ila nimeanza kukuelewa.
 
Sasa hapa tunajadili nini,ndo maana nikasema labda hujui kusoma niambie wapi sijazungumzia hayo,sasa kama unatumia hayo unayatumia wewe kama nani kujua?
Kwanza nashukuru umeona tofauti yangu na wewe.

Pili, hoja ni wewe kusema Mungu yuko ndani yako.
 
Back
Top Bottom