REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,963
- Thread starter
- #221
Picha ni kama ushahidi ama kumbukumbu,hakuna mwenye picha bali aliyepiga uhalisia ambao upo mpaka sasa ,kumbuka kuna wazawa hawa husaidia lugha na mengineyo na kuwapeleka wenzake sehemu za urithi na kuwapa ufahamu upya,je wewe ulitaka nani labda akuthibitishie na akupe maelezo gani?Tatizo huna marejeo na picha huelezewa, lazima utueleze wenye picha hizo wao walizielezea vipi.