The true fool is the one who believes in a nonexistent god because he is afraid of being called a fool out of a cleverly manipulative insurance policy verse written by ancient Jews.
Hii anaweza kuijibu Kiranga !!!
Why spend so much energy fighting something you simply feel does not exist?
There is absolutely no logic behind this!
Non-theists delusion.
Nilichogundua imani zetu ni tofauti prove yangu mie kama mungu kaumba binadamu, na dunia kwa ujumla kwako inaweza kuwa ni kituko, la msingi kila mmoja ana mamlaka na maamuzi ya kuamini anachokiamini kwenye masuala ya imani kama Mungu yupo au hayupo, na dunia imejiumba yenyewe au imeumbwa.Kabla ya kusema mwenyezi mungu kaumba binadamu na wanyama, kwanza prove kwamba yupo. Hujaprove kwamba yupo usharukia kwamba kaumba?
Kina Firauni wamekongolewa na entropy per the second law of thermodynamics, kama ambavyo kila kitu kitakongoroka.
Sasa unataka kusema entropy na the second law of thermodynamics ndiyo mungu?
Hata nikisema sijui jibu la swali hili, hilo halina maana jibu lake ni mungu.
Ukiniuliza square root ya mbili ni nini? Nikasema sijui, hilo halina maana jibu lake ni nane. Why should it be nane, show me how.
Kwa nini binadamu awe kaumbwa na mungu? Nioneshe.
Kama unasema complexity ni lazima iwe na muumba, ultimately kwa principle hiyo hiyo itabidi mungu naye awe na muumba, na muumba wake awe na muumba, ad infinitum.
Cha kushangaza hapa ni wewe unayekubali kwamba complexity ndogo kama injini inatengenezwa na binadamu, lakini complexity kubwa kama mungu haitengenezwi.
Ni kama kukubali kwamba mkokoteni ni lazima utengenezwe na binadamu, hauwezi kutokea wenyewe, lakini Jumbo Jet linaweza kujitengeneza lenyewe tu.
Kama binadamu (low complexity) ni lazima awe ameumbwa na mungu, na complexity ni alama ya intelligent design, then mungu (high complexity) naye ni lazima awe ameumbwa, na muumba wake lazima awe ameumbwa.
This god falls on his face.
Wakiweza kufikiri maana yake hapo si nje ya uwezo wao, by definition binadamu hawezi kufikiri nje ya uwezo wake.
Usiogope kufikiri kwa kuogopa kufikiri nje ya uwezo wako.Utakuwa kama mtu anayeogopa kutembea kwa kuogopa kufika mwisho wa dunia na kudondoka.
I don't need the bible to tell me that I am a fool.
Yes kwakuwa ukimwi upo!Kama hakuna dawa ya UKIMWI, wanaharakati wa kupiga vita UKIMWI wanaweza ku gravitate sana kwenye threads za maganga ongo wanaosema wana dawa ya UKIMWI na kuwapa watu false hope, kuwamalizia hela za wananchi bila ukweli, na kuongeza janga la maambukizi.
That makes sense right?
Substitute "dawa ya UKIMWI" with "mungu" and use the same logic, utaona ni kwa nini inakuwa muhimu kwa wasioamini uwepo wa mungu waeleze ulimwengu kwamba mungu hayupo.
Mkuu hii hata mimi nashangaa
[/COLOR]
Kweli mkuu!
Ha ha ha ha, wait and see the non-theistic delusion.
Mkuu, wale watu wanao zungumza vitu ambavyo havipo na kupigana kwa jasho lote, si ndio wanaitwa punguani?
Jamaa wanakesha hapa kupinga Mungu ambaye haupo, tena huku wakitokwa povu. Lazina wana upunguani hawa.
By the way umesoma The Kybalion - A Study of The Hermetic Philosophy of Ancient Egypt and Greece by Three Initiates? Binafsi nimesoma ila sijaimaliza. Wanaongelea kuhusu The All ambaye amekuwepo, yupo na atakuwepo...hakuanza wala hatakwisha na ni vigumu kum-perceive kwa sense yoyote ile...yeye ndiyo chanzo cha kilichokuwepo, kilichopo na kitakachokuwepo...
Una connect vipi The Kybalion, kama imeisoma tayari, na thread hii?
mkuu hii nahisi ni dhana, na ni mjumuiko wa watu wenye fikra pevu sana ambao waliamini kwa theory hii wataiteka dunia na hakika wamefanikiwa.labda kuna namna ingine yavutendaji wa mungu na au hayupo kabisa.wajinga ndio waliwao.Inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote atengeneze ulimwengu wenye mateso na maovu mengi kama huu?
Ina maana alishindwa kutengeneza mzuri zaidi?
Kama alishindwa ni kweli uwezo wake hauna mwisho?
Au hakushindwa ila hakutaka tu?
Kama hakutaka tu, ni kweli kwamba upendo wake hauna mwisho?
Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi
Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?
nanyi mtupe ushahidi kama mungu yupo.Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi
Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?
mkuu hii nahisi ni dhana, na ni mjumuiko wa watu wenye fikra pevu sana ambao waliamini kwa theory hii wataiteka dunia na hakika wamefanikiwa.labda kuna namna ingine yavutendaji wa mungu na au hayupo kabisa.wajinga ndio waliwao.
ukichunguza sana ubagundua walioanzisha hii dhana ndio wanaoamua jinsi dunia inavyotakiwa kwenda maana tayari wanaijua siri ya dunia.
Ngoja tuone!!!!!!!!!!!!
Kama huyo "The All" ni vigumu kum pereceive kwa sense yoyote ile wao wamem perceive vipi?
Ukristo/ Uyahudi umeiba concepts hizi kwa majirani zao hao Egyptians/ Babylonians na watu wengine wa maeneo hayo.
Ukisoma "The Epic of Gilgamesh" utaona habari zote za mafuriko ya Nuhu ziliandikwa kabla, Wayahudi wameibia na kubadilisha tu.
Habari za Musa kuokotwa na mwanamfalme zote zilishaandikwa kabla ya nyakati za Wayahudi.
Habari za mtoto wa mungu kuzaliwa nabikira zilishaandikwa kabla ya kuzaliwa kwa Yesu.
Kwa hiyo hata hii habari ya miungu ya Misri ikiwa sawa na idea ya almighty god sishangai.
Walichofanya Wayahudi ni kutoka kwenda kwenye monotheism, in a strangely quirky way that makes the Tanzanian Union
Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi
Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?
nanyi mtupe ushahidi kama mungu yupo.
Haya hata mimi nayajua
Ni kitu gani kimekufanya uone kuwa wayahudi walikopi?