Mwacheni Mungu aitwe Mungu


Sasa kama unapewa mfano mdogo tu ambao hata mtoto wangu anauelewa na wewe unashindwa kuuelewawewe si ni matatizo?
 
Sasa kama unapewa mfano mdogo tu ambao hata mtoto wangu anauelewa na wewe unashindwa kuuelewawewe si ni matatizo?
Ni kama ambavyo umeshindwa kujibu swali langu dogo namna hiyo, ndio maana hata mimi nahisi una matatizo ya psychiatric! Ngoja nikusamehe maana hulijui ulitendalo!
 
Nimesema wapi kuwa nimesikia kutoka kwa walimu wa dini?

Whatever, whether you were taught, read or learnt somewhere that's none of my business! Point hapa ni kuwa umeshindwa kuthibitisha imani yako kuwa kuna Mungu, zaidi unaishia kupiga blaa blaa tu hapa na kuwashushua wenzio wasiowaza kama wewe utakavyo. Sasa umetoa wapi mamlaka ya kuhoji evidence ilhali hata wewe umeshindwa kuthibitisha imani yako ktk mungu?
 

Kabla ya kufa kwako utajua Mungu ni nani
 
Ni kama ambavyo umeshindwa kujibu swali langu dogo namna hiyo, ndio maana hata mimi nahisi una matatizo ya psychiatric! Ngoja nikusamehe maana hulijui ulitendalo!

Thanx!!!!!!!!!!!!!!!
 
Point hapa ni kuwa umeshindwa kuthibitisha imani yako kuwa kuna Mungu,

Unataka kumjua Mungu gani?

zaidi unaishia kupiga blaa blaa tu hapa na kuwashushua wenzio wasiowaza kama wewe utakavyo. Sasa umetoa wapi mamlaka ya kuhoji evidence ilhali hata wewe umeshindwa kuthibitisha imani yako ktk mungu?

Huyu mwenye mada kasema "mwacheni Mungu aitwe Mungu" Halafu wakaja watu kutoka wanakokujua wao wanakataa uwepo wa huyo Mungu anaemsema mtoa mada huku wao wenyewe hawana ushahidi wa kutokuwepo huyo Mungu

Hii ni akili kweli?

Mfano:
Nimesema wewe ni mwanamke kisha akaja mtu mwingine akakataa kuwa wewe sio mwanamke,itabidi yule aliekuja kukanusha usemi wangu aseme ni kwanini anakanusha na kwa ushahidi gani,kisha mimi ndipo nitatakiwa niseme ni kwanini nilisema wewe ni mwanamke

Huyu aliekanusha bila ushahidi halafu akiambiwa atoe ushahidi na kusema aliyesema wewe ni mwanamke kwanza ndio atoe ushahidi ataonekena ana matatizo ya akili

Iweje mtu ukanushe jambo usilokuwa na ushahidi wa kulikanusha?
 
Kwa lugha ya kwetu "kiranga maana yake ni shetani" sasa mnaobishana na shetani wakati ni mzoefu wa kubishana tangu kabla ya ulimwengu mnapoteza muda.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Ndugu umemaliza biashara huyo KIRANGA ni kishetani kazini jamani ukishindana na shetani ili ushinde inabidi nawe uwe shetani .
 
Ndugu umemaliza biashara huyo KIRANGA ni kishetani kazini jamani ukishindana na shetani ili ushinde inabidi nawe uwe shetani .

Kwanza hujatoa definition ya shetani, ni nini au nani?

Pili, kwa hiyo hat huyo Yesu wenu aliyekuja duniani kupambana/kushindana na shetani na kwa vile mnaamini alimshinda shetani pale alipowekwa msalabani, naye ni shetani?

cc Kiranga
 

Aisee sasa basi. I rest my case...
 
Ndugu umemaliza biashara huyo KIRANGA ni kishetani kazini jamani ukishindana na shetani ili ushinde inabidi nawe uwe shetani .

Shetani naye ni hadithi nyingine tu kama mungu. The duality of "Good vs Evil" predates Christ by over a thousand years.

Kwa hiyo ili mungu wa maboksi awe na maana, ilibidi kumtengeneza shetani wa maboksi.

Hata waswahili wanajua, wamesema "Ibilisi wa mtu ni mtu". Hakuna shetani wala mungu.

Kuna watu, wanafanya vitendo vizuri na vibaya.

Na kuuliza maswali kama ninavyouliza mimi hakuwezi kuwa kitu kibaya.

If anything hata kama mungu akiwepo (for arguments sake) na akawa ndiye muumba, wale wanaoamini baada ya kuuliza maswali na kujiridhisha kwa kiasi watakuwa wamemtukuza huyu mungu, kwamba ana uwezo wa kuwaumba na akili za kujiuliza, na wanazitumia.

Wasiotaka maswali, hata kama mungu yupo na ni muumba wa vyote (for arguments sake) watakuwa hawamtukuzi huyu mungu, watakuwa wanamtukana kwamba ulimwengu wake unashindwa kujibu maswali ya kibinadamu.

Kwa hiyo kama kuna shetani (for arguments sake) atataka usiwe na akili ya kuuliza maswali.

Kuuliza maswali hakuwezi kuwa ushetani.Mungu gani anayeogopa challenge ya maswali ya kibinadamu?

Kutokuuliza na ujinga ndiyo kunaweza kuwa matakwa ya shetani (for arguments sake, if he exists) kwa sababu atajua wanadamu wakijiuliza watamuona mungu.

So far hatujamuona, which begs the question.

Kama mungu kashindwa kujidhihirisha kwa watu wanaomtafuta kwa akili zao zote, hata kama yupo (for arguments sake) mungu huyo atawalaumu wanadamu hao kama hawatamjua?

Kesho nikifa na kukutana naye mbinguni halafu akaniuliza "Wewe Kiranga mbona ulikuwa unanipinga sana JF na kusema mimi sipo, niambie kwa nini nisikuchome moto sasa?"

Nikimwambia "Nilisema hupo kwa sababu hukunipa akili za kukutambua" atanijibu vipi?

Akili zote tunapata kutoka kwake!

Wengine wanasema tunamjua kwa neema zake tu.

Sasa kama mimi hajanijalia neema na akili za kumtambua makosa ya nani?

That is if he exists at all, which of course, from the questions raised here, there is no iota of evidence that he does.
 

Kuna watu wengine huwa ni shida sana kujadiliana nao hivyo wakati mwingine inakulazimu kwenda hatua moja mbele zaidi kuelezea kwamba hiki au kile ni for argument's sake ili mwenzio asije akaelewa vibaya na kudhani visivyo.

It's sad when you have to give a presumably intelligent grown ass man the kid-glove treatment.
 


kiukweli Mungu haumbi kilema, Mungu ameumba binadamu mmoja Tu Adamu, nabaadae akamtokeza eva, aliwaumba wakiwa wakamilifu kiakili kiadili na hata kimwili, lakini dhambi ilewaliyofanya adamu na hawa ndiyo inayosababisha sisi wote duniani ni vilema, ila severeality ya ukilema ndio tumetofautiana lakini haihitaji umuone kilema zaidi yako ndio umtukuze Mungu!, ukilema upo wa kuzaliwa mfano mtindio wa ubongo, mabaka mabaka ya ngozi, albinism na ufupi wa miguu, na ulemavu mwingine ni wa ajali ajali ni tukio lisilotazamiwa linaloweza mpata mtu muda wowote haijalishi anaabudu Mungu au la. hivyo chanzo cha ulemavu ni dhambi ya adamu na hawa na lawama zote ni kwashetani ambaye ndiye chanzo cha maovu yote.
 

Kama aliwaumba wakamilifu kiakili wamewezaje kufanya dhambi?
 
chezeiya kuvalishwa nepi hadharani weye.yahudi balaa

o
 
Kama aliwaumba wakamilifu kiakili wamewezaje kufanya dhambi?
mkuu sasa kwanini ashukumiwe shetani mwenye kosa na badala yake anahukumiwa adam asiyehusika.au shetani aliwazidi maarifa.inawezekana ndo maana dhambi zinazidi maana hawakutatua tatizo.
 
duh kumbe kukatika mkono kunakusogeza karibu na mungu.duh asee nkua njui.
 
mkuu sasa kwanini ashukumiwe shetani mwenye kosa na badala yake anahukumiwa adam asiyehusika.au shetani aliwazidi maarifa.inawezekana ndo maana dhambi zinazidi maana hawakutatua tatizo.

Hata shetani naye hayupo, ni fix tu.

Hakuna ushahidi kama kuna mungu wala shetani.
 

Huna point, that is to say this is pointless! Sasa wewe uliyesema mimi ni mwanamke na ukashindwa kuthibitisha kuwa mimi ni mwanamke kwanini unayemwambia hayo maneno asikudai huo ushahidi? Kuna msemo kwenye sheria unasema "Whoever alleges must prove", sasa wewe umesema (ambako ni sawa na ku-allege / kudai) kwamba mimi ni mwanamke, sasa huoni kwamba unao wajibu wa kuthibitisha hayo madai yako? Sasa iweje sisi tunaokuomba uthibitishe uanamke wangu wewe ndio utugeuke uanze kutudai ushahidi kwa hoja tunazokutaka wewe uzithibitishe? Ndio maana nimekwambia hapo nyuma huenda you are insane, maana kwa akili ya kawaida haiwezekani useme wewe halafu mwenye kuthibitisha maneno yako mwenyewe awe mwingine! This is completely full of nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…