Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

Hayo maneno yake kama ndiyo kweli kasema hivyo, anaonesha ni mtu wa hovyo hata akitupiwa Simba hamli huyo.

Hiyo ni najisi tu. Hiyo ni zaidi ya "gutter politics".

Kwa siasa hiyo ndiyo watu waifate chadema?

Mnanchekesha.
Yeye haja sema waifuate Cdm. Bali amesema mkataba ni mbovu. Wewe FaizaFoxy onyesha uzuri wa mkataba huo. Ili tukutofautishe naye
 
Back
Top Bottom