Nimepata mwanga AsanteHewa iliyotuzunguka imechanganyika na maji katika hali ya mvuke(gesi), kwa hiyo hewa hii yenye mvuke wa maji (humid air) inapotua sehemu ya baridi hupoozwa na ule mvuke kurudi katika hali ya umajimaji ndo unayoona yanachuruzika. Kama upishi wa gongo vile😅😅 unaichemsha mpaka inakua mvuke kisha mvuke unapozwa kwenye maji baridi unapatwa gongo. Kama hujaelewa uliza.
Yaani ndo umepata mwanga,wakati jamaa kaseNimepata mwanga Asante
Mkuu boiling point ya maji si Ni 100 degrees Celsius??Hewa iliyotuzunguka imechanganyika na maji katika hali ya mvuke(gesi), kwa hiyo hewa hii yenye mvuke wa maji (humid air) inapotua sehemu ya baridi hupoozwa na ule mvuke kurudi katika hali ya umajimaji ndo unayoona yanachuruzika.
Kama upishi wa gongo vile😅😅 unaichemsha mpaka inakua mvuke kisha mvuke unapozwa kwenye maji baridi unapatwa gongo. Kama hujaelewa uliza.
Hahahahahaha mwanga niliopata uliangazia njia nikapata general concept nikawa nimeelewa jumla kwamba yanatokea wap, kiufup nilikuwa nataka pakuanzia na alichoandika kilinipa majibu ndio maana nikamaliza kwa kusema Asante.Yaani ndo umepata mwanga,wakati jamaa kase
ma kama una swali jingine uliza,kwanini usiulize ili uelewe kabisa?
Vp khs ile kuweka maji baridi kwenye bilauri afu unakuta kwa pembeni yanachuruzika na mengine n matone matone.?Hewa iliyotuzunguka imechanganyika na maji katika hali ya mvuke(gesi), kwa hiyo hewa hii yenye mvuke wa maji (humid air) inapotua sehemu ya baridi hupoozwa na ule mvuke kurudi katika hali ya umajimaji ndo unayoona yanachuruzika.
Kama upishi wa gongo vile😅😅 unaichemsha mpaka inakua mvuke kisha mvuke unapozwa kwenye maji baridi unapatwa gongo. Kama hujaelewa uliza.
Maji ni ya baridi sana karibia kuganda na kuwa barafu. Mazingira ni ya joto, hivyo kupelekea Ile hali ya ubarafu kuyeyuka na kuwa maji unayoyaona.Habari ya muda huu wanajamii,
Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka.
Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama beseni au hata sahani utakuta kwenye hiko chombo pia panakuwa na maji baada ya ule mvuke kuchuruzika chini lakini yale maji ya kwenye chupa hayapungui yanabaki ujazo uleule kama yalivyokuwa awali.
Ninachohitaji kufahamu yale yaliyochuruzika huwa yanatoka wapi?
Asante
Na mvuke kwenye friji chanzo chake pia ni nini!?Habari ya muda huu wanajamii,
Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka.
Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama beseni au hata sahani utakuta kwenye hiko chombo pia panakuwa na maji baada ya ule mvuke kuchuruzika chini lakini yale maji ya kwenye chupa hayapungui yanabaki ujazo uleule kama yalivyokuwa awali.
Ninachohitaji kufahamu yale yaliyochuruzika huwa yanatoka wapi?
Asante
Naomba niongezee kitu kwa knowledge yangu...Hewa iliyotuzunguka imechanganyika na maji katika hali ya mvuke(gesi), kwa hiyo hewa hii yenye mvuke wa maji (humid air) inapotua sehemu ya baridi hupoozwa na ule mvuke kurudi katika hali ya umajimaji ndo unayoona yanachuruzika.
Kama upishi wa gongo vile[emoji28][emoji28] unaichemsha mpaka inakua mvuke kisha mvuke unapozwa kwenye maji baridi unapatwa gongo. Kama hujaelewa uliza.
ndio mkuuNaomba niongezee kitu kwa knowledge yangu...
Navojua ni kuwa Evaporation hutokea katika hali joto yoyote ile.
Wa kunikosoa [emoji870]
ndo vilevile mkuu, hii hewa tunayoivuta ina maji ambayo yapo katika form ya gesi katika joto fulani so hewa ikifika kwenye glass ya baridi inapoozwa na ule mvuke unarudi katika hali ya maji. Sayansi darasa la 4C😅Vp khs ile kuweka maji baridi kwenye bilauri afu unakuta kwa pembeni yanachuruzika na mengine n matone matone.?
Naomba niongezee kitu kwa knowledge yangu...
Navojua ni kuwa Evaporation hutokea katika hali joto yoyote ile.
Wa kunikosoa [emoji870]
Yupo sahihi, 'evaporation" ni tofauti na "boiling". Evaporation takes place when the molecules on the surface of a liquid gain enough kinetic energy that breaks the bonds. Speking of boiling, it happens at a certain specific temperature e.g water boils at 100CMimi ninakukosoa, evaporation haiwezi kutokea katika hali joto (temperature) yoyote, mfano katika usawa wa bahari evaporation ya maji itatokea katika jotoridi la (100°C+ ) na sio joto jingine lolote chini ya hapo.