Mariki boy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 360
- 1,143
Mvua ya mawe iliyo ambatana na upepo imenyesha muda wa nusu saa ivi katika wilaya ya Ilongero imeharibu mzao hasa mahindi na maharage kwa kuchanachana majani na matawi kama picha zinavyo onekana apo chini.