Mvua ya mawe iliyoambatana Upepo Singida Kaskazini

Mariki boy

JF-Expert Member
Nov 17, 2019
229
1,000
Mvua ya mawe iliyo ambatana na upepo imenyesha muda wa nusu saa ivi katika wilaya ya Ilongero imeharibu mzao hasa mahindi na maharage kwa kuchanachana majani na matawi kama picha zinavyo onekana apo chini.

IMG_20210213_171339_6.jpg
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
14,459
2,000
Sasa Mkuu naweza post kitu ambacho nimesimuliwa ?
Mm naishi Singida vijijini wilaya ya Ilongero
Singida kuna wilaya inaitwa Ilongero siku hizi? Hilo ndio lilikuwa swali; sio hoja ya mvua kunyesha au kutonyesha.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
14,459
2,000
Aisee ww upo inchi hii kwel katika wilaya kwongwe Ilongero ni Moja wapo Mkuu
Asante ndugu. Kwamba ukiacha Singida Mjini; Singida Vijijini; Iramba; Manyoni; Itigi; Ikungi; na Mkalama kuna wilaya tena KONGWE ya Ilongero? Asante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom