Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,357
- 41,977
Na hizo foleni zenu
Ndio maana ameuliza huko mtaani kwako Hali ipo vipi,? Kama kwako mvua haipo kubwa na kuna Hali nzuri, ilikuwa ni swala la kumfahamisha tu, sio kumuita muongoNaona unatupa chai mapema Mkuu, ila mvua ipo sio yakutisha Kama ulivyoelezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu mkuu mbona mbali? , si unatumia muda mwingi sana barabarani?, nipo Kiluvya ila siku ya kwenda mjini lazima nisue sue, mana naona parefuNiko Misugusugu nafanya Temeke. Usafiri sio changamoto kabisa. Kwa taarifa tu magari ya Mbezi Mlandizi huwa hayakatiki hata 9 ya usiku yapo
Msome Mtoa Mada vizuri ametoka kibaha , mbezi. Kimara ubungo hadi city center na mvua ilikuwa kubwa na kali, ndio akaanzisha uzi, na bado amekuua muungwana wa kuulizia Hali ya hapo ulipo ipoje sidhan kama amegeneralize, na sijaona Kosa la Mtoa madaEti mtu unakuta anaishi Sinza tena Mapambano ila anaandika uzi mvua kubwa inanyesha DSM na pwani yote tukikutukana utakasirika?
Mkuu asubuhi hii yote umeamua kunivunja mbavu kiasi hichiMtaani kwangu mvua ni kubwa na nyingi isipokuwa kwenye ofisi ya CCM hamna hata tone moja linalodondoka
WachawiMtaani kwangu mvua ni kubwa na nyingi isipokuwa kwenye ofisi ya CCM hamna hata tone moja linalodondoka