Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

Mkuu unaishi Mlandizi unafanya kazi town au umetoka safari ?
Kama unaishi Mlandizi nakufanya shughuli zako mjini daily sipati picha gharama za usafiri
mlandizi-mbezi 1700+mbezi-kimara 400+kimara-town 650=2750 kwenda na kurudi=5500
 
Sasa hiyo sio pwani yote, kafika Kisarawe, Bagamoyo na Kilwa?
.
Huu ni ujinga huwezi kusema mvua inanyesha pwani yote na dar yote wakati kuna maeneo kibao hayana mvua ndio maana hata TMA husema mvua itanyesha mkoa fulani kwa baadhi ya maeneo sio kotee
Uko sensitive Sana, kwa leo mvua inanyesha sehemu kubwa Sana ya dar na pwani, hajakosea Sana japo kiuandishi ame generalize,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tma walishatoa angalizo yangu tarehe 10 na kusema alhamis ya Leo Hadi jpili kutakua na mvua kubwa kwa Pwani Dar Kind na visiwani
 
Naipongeza awamu ya tano kwa kuleta mvua hizi hadi mabeberu wanatuonea wivu.. Hizi mvua na mafanikio yake zimo kwenye ilani ya Policcm..
Hongera sana Jiwe.. Miaka mingine 5 kwako..
 
Sasa hiyo sio pwani yote, kafika Kisarawe, Bagamoyo na Kilwa?
.
Huu ni ujinga huwezi kusema mvua inanyesha pwani yote na dar yote wakati kuna maeneo kibao hayana mvua ndio maana hata TMA husema mvua itanyesha mkoa fulani kwa baadhi ya maeneo sio kotee
Eneo gani halina mvua bwashee?!
 
Back
Top Bottom