Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

Umeandika kwa kukurupuka sana, ila siwezi kukuupinga inawezekana huelewa wako kuhusu mziki wa hip hop umekomea hapo, jaribu kwenda deep na ufatilie vizuri mziki wa hip hop then unaweza kuja kuomba hii thread yako ifutwe.

Kwa ufupi sana labda nikwambie hip hop kama ulivykua mziki wa reggae ulijikita zaidi katika kutetea haki ya watu weusi dhiidi ya unyonyaji na ubaguzi wa rangi uliokuwepo kwa kiasi kikubwa wakati ule, pia marapa wengi waliandika mashairi makali na kuichana government ambayo walidai ndio ulikua unalea ule mfumo wa kinyonyaji.

Kama kawaida serikali ya Marekani baada ya kugundua ule mziki unapendwa na umeanza kupata wafuasi wengi, wakaamua kutumia propaganda kubwa kuakikisha wanacontrol mziki mzima wa hip hop ikiwa pamoja na kuanzisha vyombo vya habari na record lebel ambazo zitacontrol kwa kiasi kikubwa music industry.
Lengo lilikua ni kuakikisha wasanii wanaacha kuimba mziki wa kimapinduzi ambao ulionekana ni threat Kwa system na kuanza kuimba hivyo vitu unavyovipigia kelele kama vile drugs, sex, gangster lifestyle na uhuni mwingine.

Wasanii waliokua wanaimba kuhusu hivyo vitu ndio wakawa wanapewa airtime kwenye media, wanapata show za kutosha na ndio wakawa wanapewa mpaka tuzo na kua maarufu sana katika jamii, wakati wale waliojikita katika kuimba ujumbe na kuiremisha jamii hawakupewa airtime kabisa wala show hata tuzo

Kama wewe umeaufatila mziki vizuri wa hip hop utakua unamjua Marehemu Easy E huyu ndio anatajwa kua father of gangster rap na ndio msanii wa kwanza kuitwa ikulu ya white house hii tukio lilikua ni la kimkakati zaidi kwani baaada aliwavutia vijana wengi kuimba nyimbo za kingengster sababu hata serikali ilitoa baraka.

Nina mengi ya kukuambia ila sio mzuri kwenye kuandika kivile ngoja nikomee hapo
Sure kabisa music industry inatumia rapa wabovu kuwa attack Black Americans, ukifatilia vizuri marapa real huishia kuuwawa tu... RIP TUPAC, BIGGIE, NIPSEY HUSTLE, XXX TENTACION, nawengineo ambao walikua revolutional kwenye industry.
 
Naona members mnabishana sana kuhusu Hiphop. Inapendeza. Kimsingi dunia nzima kwa sasa hakuna muziki wenye afadhali. Yote imeshaharibiwa. Hii bongo fleva yetu mwanzoni walikuwa wakiimba vitu vyenye akili ila siku hizi ni ushuzi mtupu. Injili ya kina Rose Muhando iliyovuma na yenyewe kwa sasa ina hadi msanii aliyeimba "Yesu ninyandue"... yaani ni balaa. Huko DRC na kwenyewe wameshaanza kulalamika ile original Rhumba inatoweka. Wasanii wanaimba vitu vya hovyo.

Hiphop nayo kama muziki namba moja ninaoupenda imeshapoteza sana mwelekeo. Nyimbo za busara kama STAY DOWN ya Flash feat Akon kwa sasa hakuna. Hiphop ya nyakati hizi ni ushuzi. Mimi ninadhani kwa sasa kila mtu awe karibu na mwanae kwasababu hakuna muziki utakaomwacha salama.
Reggae music for life
 
Huyu ni Ricky Rozay

I love my big booty bitches, my life a Godfather picture
Local club in my city, I fell in love with a stripper
Bitches know I'm that nigga, talkin' four-door Bugatti
I'm the life of the party, let's get these hoes on the Molly
u know i came 2 stunt so drop dat pussy bitch
i got what u want drop dat pussy bitch
Film it film it bitch wants me 2 film it
🔥🔥🔥🔥
 
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana.

1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita kwenye michezo na sanaa huku wachache wakifanikiwa na wengi wakirudi mitaani bila vyeti hata vya sekondari matokeo yake huanza kuuza madawa, Hii imechngia wamarekani weusi wengi kushindwa kusoma na kuandika, Tatizo sio shule bali ni mindset, Mchezaji wa mpira wa kikapu Lebron James alianzisha shule ya mabilioni kusomesha bure wamarekani weusi yni msosi fresh, mzingira safi, vitabu, internet, n.k. lakini miaka mitatu mfululio hakuna mwanafunzi mweusi kaweza kupita mtihani wa hesabu wa shule ya msingi.

2. Huchochea visasi, Wamarekani weusi wanauana wao kwa wao mara nane zaidi kuzidi wanavyouwawa na mapolisi (wao husema revenge is the sweetest think mext ti puzeey)

3. Kuchochea mmonyoko wa maadili, imekuwa kawaida wasanii kuvaa milegezo, kuona ni fahari kulala na wake za watu wengine.

4. Kushusha thamani ya mwanamke kuwa ni chombo cha starehe, sio hivyo tu huwaita wanawake ni bitches (mbwa jike)

5. Kupelekea uhalifu zaidi, misemo kama sniches get stitches inatishia watu wataoripoti uhalifu kushushiwa vipigo vizito wakigundulika, My Ride or die ni kumsifia mwananamke kuwa wife material kwasababu mnahaso nae kwa kufanya uhalifua na yupo loyal hawezi kukusnich, haya mambo yote yamechochea sana jamii ya wamarekani weusi kuwa na uhalifu uliokothiri

6. Kusifia matumizi ya madawa ya kulevya kumefanya wamarekani weusi wengi kuwa watumiaji na kuangukia kwenye uteja

7. Kutukuza Pesa na mali kama Mungu, Kushinikiza kupata pesa kwa namna yoyote ile hata kwa kuua ama kuuza nafsi yako kwa kudhalilika, kuwatusi na Kuwashusha thamani wasio na pesa kwa lugha chafu kama kuwaita broke a** niggers.
SIO KILA MUZIKI WA HIPHOP NI SUMU
 
Umeandika kwa kukurupuka sana, ila siwezi kukuupinga inawezekana huelewa wako kuhusu mziki wa hip hop umekomea hapo, jaribu kwenda deep na ufatilie vizuri mziki wa hip hop then unaweza kuja kuomba hii thread yako ifutwe.

Kwa ufupi sana labda nikwambie hip hop kama ulivykua mziki wa reggae ulijikita zaidi katika kutetea haki ya watu weusi dhiidi ya unyonyaji na ubaguzi wa rangi uliokuwepo kwa kiasi kikubwa wakati ule, pia marapa wengi waliandika mashairi makali na kuichana government ambayo walidai ndio ulikua unalea ule mfumo wa kinyonyaji.

Kama kawaida serikali ya Marekani baada ya kugundua ule mziki unapendwa na umeanza kupata wafuasi wengi, wakaamua kutumia propaganda kubwa kuakikisha wanacontrol mziki mzima wa hip hop ikiwa pamoja na kuanzisha vyombo vya habari na record lebel ambazo zitacontrol kwa kiasi kikubwa music industry.
Lengo lilikua ni kuakikisha wasanii wanaacha kuimba mziki wa kimapinduzi ambao ulionekana ni threat Kwa system na kuanza kuimba hivyo vitu unavyovipigia kelele kama vile drugs, sex, gangster lifestyle na uhuni mwingine.

Wasanii waliokua wanaimba kuhusu hivyo vitu ndio wakawa wanapewa airtime kwenye media, wanapata show za kutosha na ndio wakawa wanapewa mpaka tuzo na kua maarufu sana katika jamii, wakati wale waliojikita katika kuimba ujumbe na kuiremisha jamii hawakupewa airtime kabisa wala show hata tuzo

Kama wewe umeaufatila mziki vizuri wa hip hop utakua unamjua Marehemu Easy E huyu ndio anatajwa kua father of gangster rap na ndio msanii wa kwanza kuitwa ikulu ya white house hii tukio lilikua ni la kimkakati zaidi kwani baaada aliwavutia vijana wengi kuimba nyimbo za kingengster sababu hata serikali ilitoa baraka.

Nina mengi ya kukuambia ila sio mzuri kwenye kuandika kivile ngoja nikomee hapo
Sasa mbona ulicho andika unasapoti hoja ya mtoa Mada. Issue sio hip hop imefanya nini au asili yake ni nini. Issue ni kwamba currently hip hop iko corrupted na jumbe za hovyo.
 
Wewe ndio ujanielewa hip hop yenye ujumbe mzuri hipo na hip hop yenye ujumbe mbaya hipo ni chaguo lako unaamua kusikiliza ipi
 
Hivi unajua wazazi wa sasa ndio walichosikiliza utotoni ?, Kwahio kama wewe unajiona upo sawa (haukuathiriwa na hizo Hip Hop kwanini hawa ambao hawasikilizi sana ndio wapate athari) ?

Kama mtoto / kijana wako anaweza akawa swayed na kila anachosikia redioni / kwenye TV basi haujafanya kazi yako vizuri.... Kwahio akiona na kwenye movies wanapigana shaba achukue bunduki na yeye akapige majirani zake ?
 
Get ya blow mind, keep it up, shizzo ya dizzo, muziki wa kimarekani ndio ulitamba sana duniani na tz ikaibuka bongo flavour yenye mitundo na vionjo vya muziki wa kimarekani. Enzi za 2pac, notorious big, big punnisher, fat joe, ice cube, snoop dog doggy, puff daddy, lil kim, quee latifah, aaliyah, eve, miss eliot na wengine wengi tuliwajua na kuwafuatilia miziki yao lakini haikutuathiri. Milegezo na kuongea lugha yao tuliwaiga sana tu tukiwa shuleni at the end tulifanya vizuri shuleni.
 
Huyu ni Ricky Rozay

I love my big booty bitches, my life a Godfather picture
Local club in my city, I fell in love with a stripper
Bitches know I'm that nigga, talkin' four-door Bugatti
I'm the life of the party, let's get these hoes on the Molly
Huu wimbo ukishinda tuzo kwenye speech utasikia "I wanna thank God..........."
 
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana.

1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita kwenye michezo na sanaa huku wachache wakifanikiwa na wengi wakirudi mitaani bila vyeti hata vya sekondari matokeo yake huanza kuuza madawa, Hii imechngia wamarekani weusi wengi kushindwa kusoma na kuandika, Tatizo sio shule bali ni mindset, Mchezaji wa mpira wa kikapu Lebron James alianzisha shule ya mabilioni kusomesha bure wamarekani weusi yni msosi fresh, mzingira safi, vitabu, internet, n.k. lakini miaka mitatu mfululio hakuna mwanafunzi mweusi kaweza kupita mtihani wa hesabu wa shule ya msingi.

2. Huchochea visasi, Wamarekani weusi wanauana wao kwa wao mara nane zaidi kuzidi wanavyouwawa na mapolisi (wao husema revenge is the sweetest think mext ti puzeey)

3. Kuchochea mmonyoko wa maadili, imekuwa kawaida wasanii kuvaa milegezo, kuona ni fahari kulala na wake za watu wengine.

4. Kushusha thamani ya mwanamke kuwa ni chombo cha starehe, sio hivyo tu huwaita wanawake ni bitches (mbwa jike)

5. Kupelekea uhalifu zaidi, misemo kama sniches get stitches inatishia watu wataoripoti uhalifu kushushiwa vipigo vizito wakigundulika, My Ride or die ni kumsifia mwananamke kuwa wife material kwasababu mnahaso nae kwa kufanya uhalifua na yupo loyal hawezi kukusnich, haya mambo yote yamechochea sana jamii ya wamarekani weusi kuwa na uhalifu uliokothiri

6. Kusifia matumizi ya madawa ya kulevya kumefanya wamarekani weusi wengi kuwa watumiaji na kuangukia kwenye uteja

7. Kutukuza Pesa na mali kama Mungu, Kushinikiza kupata pesa kwa namna yoyote ile hata kwa kuua ama kuuza nafsi yako kwa kudhalilika, kuwatusi na Kuwashusha thamani wasio na pesa kwa lugha chafu kama kuwaita broke a** niggers.
Hata hao wa hapo kwetu wanaoimba 'Basi Nitongoze', ndiyo wanaopaswa kuepukwa zaidi, kwani usambazwaji wake una nafasi ya kuifikia sehemu kubwa ya jamii yetu.

Ieleweke kuwa, hata cheche ya moto inayotoka kwenye jiko lililo jirani nawe zaidi, ndiyo inayounguza sana kuliko ile inayotoka kwenye jiko lililo mbali na wewe.

Kabla hatujamkanya mtoto wa jirani kwa wizi, basi tuwakanye na wakwetu kwa udokozi. Juzi tu hapa imetoka video ya muziki yenye matukio ya binti kubakwa.

Kwa nguvu hiihii ya kuwasema wasanii wa Marekani, tuwaseme na hawa kwetu ambao mimi naona ni hatari zaidi.

Ova
 
Umeandika kwa kukurupuka sana, ila siwezi kukuupinga inawezekana huelewa wako kuhusu mziki wa hip hop umekomea hapo, jaribu kwenda deep na ufatilie vizuri mziki wa hip hop then unaweza kuja kuomba hii thread yako ifutwe.

Kwa ufupi sana labda nikwambie hip hop kama ulivykua mziki wa reggae ulijikita zaidi katika kutetea haki ya watu weusi dhiidi ya unyonyaji na ubaguzi wa rangi uliokuwepo kwa kiasi kikubwa wakati ule, pia marapa wengi waliandika mashairi makali na kuichana government ambayo walidai ndio ulikua unalea ule mfumo wa kinyonyaji.

Kama kawaida serikali ya Marekani baada ya kugundua ule mziki unapendwa na umeanza kupata wafuasi wengi, wakaamua kutumia propaganda kubwa kuakikisha wanacontrol mziki mzima wa hip hop ikiwa pamoja na kuanzisha vyombo vya habari na record lebel ambazo zitacontrol kwa kiasi kikubwa music industry.
Lengo lilikua ni kuakikisha wasanii wanaacha kuimba mziki wa kimapinduzi ambao ulionekana ni threat Kwa system na kuanza kuimba hivyo vitu unavyovipigia kelele kama vile drugs, sex, gangster lifestyle na uhuni mwingine.

Wasanii waliokua wanaimba kuhusu hivyo vitu ndio wakawa wanapewa airtime kwenye media, wanapata show za kutosha na ndio wakawa wanapewa mpaka tuzo na kua maarufu sana katika jamii, wakati wale waliojikita katika kuimba ujumbe na kuiremisha jamii hawakupewa airtime kabisa wala show hata tuzo

Kama wewe umeaufatila mziki vizuri wa hip hop utakua unamjua Marehemu Easy E huyu ndio anatajwa kua father of gangster rap na ndio msanii wa kwanza kuitwa ikulu ya white house hii tukio lilikua ni la kimkakati zaidi kwani baaada aliwavutia vijana wengi kuimba nyimbo za kingengster sababu hata serikali ilitoa baraka.

Nina mengi ya kukuambia ila sio mzuri kwenye kuandika kivile ngoja nikomee hapo
Sio marekani tu hata huku afrika hakuna serikali inayopenda jamii ipate kilicho bora kutoka kwenye mziki.
mfano mzuri hapa kwetu Tanzania wasanii wanao imba nyimbo za kuielimisha jamii na kuikosoa serikali hawapendwi kbs na dola( Roma, ney wa mitego etc)

Kwa hivyo umeeleza vizuri sana lkn maelezo Yako sijaona yakikanusha kile alichokisema mtoa mada
 
Back
Top Bottom