Bee mwambie huyo kuwa ukizowea kuimba hizi hata sauti inakuwa inajifanyia automatic tuning......inageuka nyororoooooo lolz
Unaosha vyombo huku na "fanya wema wende zako singojee shukurani"
ushajifunza pia hahaha
Haya nimekusoma mkuu nitaimba sauti zote
eeh we changanya tu unaogopa kwani uko BSS??
Hata ikiwa BSS, akifuja anageuka Hemed anaanza kuwasema majaji wana jealousy lol
hahahaaaa lil....unamwambia jaji wee unani wewe huna hata singo? lol...
Loh! nchi ina watu wanavituko mpaka basi
Anaulizwa sanaa imekusaidiaje? Anasema amepata ngono na wanawake wengi
eeh we changanya tu unaogopa kwani uko BSS??
Loh! nchi ina watu wanavituko mpaka basi
Anaulizwa sanaa imekusaidiaje? Anasema amepata ngono na wanawake wengi
usiniambie!!!! hii ndo kusikia leo...
hivi sijui ni utoto, ulimbukeni au ndo basi tu madharau basi anajibu tu bila kujali
Duh leo una mashushu si mchezo haya nimekusikia nitatekeleza
Alisema kweli maybe not in exact words lkn alizungumza ana kitabu anawaandika wote-lol
Ilikuwa Mahojiano nafikiri kwenye kile kipindi cha Zamaradi
Mie kufika hapo tu nikaifungilia mbali
tena!!! haya mwaya wengine viswahili vyetu ndo hivyo vya "kitaarab".....lol
Hiii kali aisee na anasema live bila chenga kweli kuna watu wamepinga kama upinde wa mshale kha??? Mademu si mchezo
Kuna watu si wazima!
Hata kama ndo u-celebu basi kuna kiasi huuuh!
]Hivi kwa maneno hayo bado hajapelekwa Mirembe???[/COLOR]
Bangi nyngine ni mbaya sana!!