Nani alikudanganya... Mavazi pia ni ibada ndugu
Kauli ya Mungu anaangalia roho sio mavazi inawapoteza kwa kasi hawa wanaoijiita walokole ....wakiongozwa na yule muuza mchele ..
Hivi karanga za diamond bado zipo kweli?Injili Imekuwa biashara Kama ilivyo karanga
Shalom wana wa Mungu
Jumapili ya leo nimeamua niitumie kuyatoa ya moyoni juu ya muziki wa injili hapa Tanzania.
Ki ukweli hawa waimbaji wa siku hizi wa injili wamakera sana na nachelea kusema ninapata mashaka na Mungu wanayemwabudu.
Dressing code yao ni hovyo sana, yani wanavaa kisharobaro, yaani ni mavazi ambayo hayaleti utukufu kwa Mungu, sijui kama kuna watu wanawashauri katika hili. Nawazungumzia hawahawa wakina Gooddluck Gozbert, Akina Paul Clement na hao wengine mnaowakubali wa type hiyo. Yani ukifungua TV alaf uka mute sauti unaweza ukamaliza wimbo bila kujua kama ni Bongo fleva au ni injili.
Ee Mungu tusamehe turudishie waimbaji wetu wenye adabu na staha kwenye ramani. Akina Ambwene Mwasongwe, Mchungaji Abihudi, Christina Shusho na wengine wa type hyo...
Hawa wa sasa wanaondoa kabisa utukufu wako
Huu ndiyo utetezi wako? Kweli Mungu ameishiwa Watu!Utkufu wa Mungu ni Individual feeling, kunawanaopenda hiyo melegezo maana wanajiona wapo sehemu ambayo ni sahihi wao kuwapo wakiona wanakwaya wamevaa kama wao.
Shetani kazini! We lini ulienda misikitini na kuona mtu kavaa mlegezo ndani au ki skin tight?Acha kukariri mambo yanabadilika.
Unaenda kanisani au msikitini unakuta muongoza ibada anakwambia fuata maneno yangu usifuate matendo kazi ni kwako kuangalia mavazi Au kusikiliza ujumbe unaopatikana katika huo wimbo.
ndezi kweli ww andiko lipi wameandika hivyo basi kaa uchiii mfyuuuMungu haangalii mavazi, hata wakivaa bikini as long as kwenye wimbo wanamsifu Mungu, si shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa ndipo tunapokosea yaani mtu huwezi Kutushwishi kusikiliza ujumbe ulionao wakati kuonekano wako unaleta ujumbe tofauti...Acha kukariri mambo yanabadilika.
Unaenda kanisani au msikitini unakuta muongoza ibada anakwambia fuata maneno yangu usifuate matendo kazi ni kwako kuangalia mavazi Au kusikiliza ujumbe unaopatikana katika huo wimbo.
Mkuu hapa ndipo tunapokosea yaani mtu huwezi Kutushwishi kusikiliza ujumbe ulionao wakati kuonekano wako unaleta ujumbe tofauti...
Mkuu ukipata nafasi nenda YouTube angalia nyimbo ya Bella Kombo inaitwa Alfa na Omega yani yule Dada ameacha mgongo wote wazi. Hivi kuna injili kweli hapo?
Shetani kazini! We lini ulienda misikitini na kuona mtu kavaa mlegezo ndani au ki skin tight?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu haangalii mavazi, hata wakivaa bikini as long as kwenye wimbo wanamsifu Mungu, si shida
Sent using Jamii Forums mobile app
na Hakuna dhambi ndogo mbele za bwana, usihukumu maana nawe utahukumiwa asema bwana wa majeshi. Luka 6:36-38never uovu hata uupambe vip hauwezi kuwa ukwel
[emoji375][emoji375]
Imeandikwa wapi? Acha uongo wewe hebu kasomeMungu haangalii mavazi, hata wakivaa bikini as long as kwenye wimbo wanamsifu Mungu, si shida
Sent using Jamii Forums mobile app