Muziki wa Injili umeingiliwa

Muziki wa Injili umeingiliwa

Unnaiamini biblia? Basi imekataza kabisa kuvaa nguo za jinsia tofauti!! Msahafu vivyo hivyo!

Sawa imekataza lakini Mbona hao wenyewe ambao wametuletea hzo imani wanavaa na wanaingia ibadani?
 
kuhusu mavazi sidhani kama kuna shida sana na hapo ni just kueleza kwamba hata mabishoo nao wanaweza kumsifu Mungu na si kila anaevaa jeans au anaenyoa punk ni muhuni

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Huu upumbafu ya sijui mavazi ni rohoni emekua ni dili sana. Yani muumin wa kitanzania we mpe aya hata za kupinda pinda ili kumuhalalishia kile anachokipenda , baso hapo utamla sadaka tu.

Nakutana na mtu eti anajiita mlokole:, amevaa kiji skin jeans (tutako tumevimaa) , kavaa kitopu na ziwa kaliboost, mirangi ya mdogo kama kala nyama mbichi, mikucha na mikope ya kubadinda. Ukimuiliza nakujibu Mungu anangalia rohoni.

Upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hawa wa makanisa haya ya revival church wanajidai kusali vingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati hizi sio zile za kuangalia mwenzako kavaaje au kafanya nini!

Muhimu ni asiingilie mambo yako tu

Angalia mambo yako ya wengine waachie wenyewe..

Kwanini mnateseka? Ulumimuita mtu duniani?
Kama ulivyokuja kwa wakati wako ndivyo hivyo utaondoka kwa wakati wako
 
Nyakati hizi sio zile za kuangalia mwenzako kavaaje au kafanya nini!

Muhimu ni asiingilie mambo yako tu

Angalia mambo yako ya wengine waachie wenyewe..

Kwanini mnateseka? Ulumimuita mtu duniani?
Kama ulivyokuja kwa wakati wako ndivyo hivyo utaondoka kwa wakati wako


Hapana, tena hapana kubwa... Ukishakubali kuwa kioo cha jamii unapaswa Ku behave na ndiyo maana wewe ukifumaniwa inaweza isiwe issue kubwa lakini Pengo akifumaniwa kila gazeti litaandika
 
Nani kakuambia siku hizi watu wanaimba Injili? Wimbo mzima hakuna mahali Yesu katajwa.....unasikia Mungu tu tena mara chache.....kama ni Mungu tu hata Cosmas Chidumule na Muhidin Gurumo waliwataja sana katika nyimbo zao.


Kwa kweli maana neno Mungu kila mtu anaweza kulitaja
 
Nyakati hizi sio zile za kuangalia mwenzako kavaaje au kafanya nini!

Muhimu ni asiingilie mambo yako tu

Angalia mambo yako ya wengine waachie wenyewe..

Kwanini mnateseka? Ulumimuita mtu duniani?
Kama ulivyokuja kwa wakati wako ndivyo hivyo utaondoka kwa wakati wako
Ukishajiita wewe ni mwimbaji wa injili tayari wewe ni mwinjilisti, ni mhubiri kwa maana hiyo unabeba identity ya ukristo na maisha yako hayawi ya kwako binafsi tena bali yatamhusu kila mkristo maana unamuwakilisha yeye, ukiwa hovyo wewe na mimi naonekana hivyo hivyo na injili unayoihubiri inakuwa haieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Usihukumu Kaka, hata hao waliotuletea Injili ni wavaa hovyo wakuu tena huke huke kanisani, Labda sisi kama Wa Africa turudie inada za ki Africa hapo tutaweza kuelewana. Lakini kama tutaendelea na tizi dini za Mkoloni basi utayaona Mengi sana.
wametuletea dini lakini swali la kujiuliza JE NI DINI YAO? jibu liko wazi sio dini yao, wenyewe wenye dini yao walipewa sheria mpaka namna ya uvaaji, mpaka usafi na namna impasavyo mtu kujisitiri
 
Shalom wana wa Mungu

Jumapili ya leo nimeamua niitumie kuyatoa ya moyoni juu ya muziki wa injili hapa Tanzania.

Ki ukweli hawa waimbaji wa siku hizi wa injili wamakera sana na nachelea kusema ninapata mashaka na Mungu wanayemwabudu.

Dressing code yao ni hovyo sana, yani wanavaa kisharobaro, yaani ni mavazi ambayo hayaleti utukufu kwa Mungu, sijui kama kuna watu wanawashauri katika hili. Nawazungumzia hawahawa wakina Gooddluck Gozbert, Akina Paul Clement na hao wengine mnaowakubali wa type hiyo. Yani ukifungua TV alaf uka mute sauti unaweza ukamaliza wimbo bila kujua kama ni Bongo fleva au ni injili.

Ee Mungu tusamehe turudishie waimbaji wetu wenye adabu na staha kwenye ramani. Akina Ambwene Mwasongwe, Mchungaji Abihudi, Christina Shusho na wengine wa type hyo...

Hawa wa sasa wanaondoa kabisa utukufu wako
Pole kuna mmoja umemtaja hapo skendo lake bora hao wengine,ila anavaa kitakatifu kama unavyotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka wavae yale mashati mekundu yanauong'aa na suruali oversize na waimbe kwenye bustani ndio waonekane wanaimba gospel?
 
Back
Top Bottom