Muziki wa Injili umeingiliwa

Muziki wa Injili umeingiliwa

Pia kinachoharibu zaidi watu wakikosolewa wanakimbilia kusema "Usihukumu kabla hujahukumiwa" hii sentensi pia inatupoteza sana !
Tukubali kukosolewa !
yaani kupotea tulipotea tangu tulipopokea biblia, tungebaki na miungu ya babu zetu. maana hawa wakoloni wanabadiri mambo kila siku, na sisi tunaenda nao.
 
Mungu anaangalia yaliyo rohoni mwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
we are the product of our thoughts. our external appearance reflects our internal appearance. ulivyo wewe ni matokeo ya mawazo yako. mwenekano wako wa ndani una shalabu mwonekano wako wa nje. hivyo matendo yako yatutupatia picha halisi ya mawazo yako.
 
Yesu aliuliza kama atakaporudi atampata hata mmoja mwenye Imani...

Nafikiri kuna vitu hatuwezi kuvirudisha kwenye mstari, japo vinatuumiza sana kwa wale tunaoelewa.
 
Wapi kwenye Biblia walisema wanaume wasivae milegezo Au skirt?

Sema tuanaishi kwa kukaririshwa tokea tumezaliwa na tumezoea makaririsho na siyo imani hapo zaman kabla Ya ukoloni wazee wetu walikuwa wanavaa nusu utupu na kwenda kuabudu na kufanya matambiko

Baada Ya wakoloni kuja na dini zao wakaweka na sheria zao Pia na tumeamua kuzifuata cha ajabu hao wazungu wenyewe wanawake wanaenda kanisani wamevaa suruali za jeans na skirt fupi na wanafanya ibada Kama kawaida.
Ila kwa Sisi ambao hatujuwi ata machimbuko Ya hzo dini ndio tumekaa kushupalia mambo yasiyo na msingi.
Unnaiamini biblia? Basi imekataza kabisa kuvaa nguo za jinsia tofauti!! Msahafu vivyo hivyo!
 
Nadhani nilipaswa kutoa precaution kwamba wanaopaswa kuchangia ni wale wanaojua umuhimu wa kuvaa vizuri katika ibada. Lakini nimekusamehe bure
mapokeo ni mabaya sana.
Laiti Rumi 12:1-2 ungeielewa usingepata taabu.
badili mtazamo wako katika kuyatazama mambo, hutawalaumu bali utawasaidia kwa maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuambia siku hizi watu wanaimba Injili? Wimbo mzima hakuna mahali Yesu katajwa.....unasikia Mungu tu tena mara chache.....kama ni Mungu tu hata Cosmas Chidumule na Muhidin Gurumo waliwataja sana katika nyimbo zao.
 
Back
Top Bottom