Nimepitia makala za California water group wameandika hakuna shortage na wanaweka mfumo mpya wakuhifadhi maji unaendelea kujengwa hapo Hawaii........ Labda wewe unaongelea California love ile kama jangwa kwenye wimbo wa 2pac
Sowote ipiNipo soweto sijawahi sikia maji yanakatika ata siku moja
Sowote ipi
Soweto ipi hiyo ulipo mana mimi naongelea ile ya chini nyuma ya airport
Nliwachukulia wageni wangu nyumba hapo soweto walikuja kwenye mahubiri ya bushiri kuanzi tarehe 18 mpka 21 mwezi wa 9,walikaa siku 5 nyumba nliyochukua ni furnished house ilikua na shida ya majiHiyo ni korongoni kata sio soweto nadhani
Nliwachukulia wageni wangu nyumba hapo soweto walikuja kwenye mahubiri ya bushiri kuanzi tarehe 18 mpka 21 mwezi wa 9,walikaa siku 5 nyumba nliyochukua ni furnished house ilikua na shida ya maji
Water contains some mineral elements which makes it tasty.Water is tasteless FYI
Kabisaa na wewe na akili zako unajiaminisha kuna habari hapo?Hivi lazima kila kitu ni kubeza tu?? Penye pongezi wapewe maana pia kuna maeneo maji yapo ya kutosha hata zaidi ya matumizi na still hawajafika 60%.
Lakini hulazimishwi..
Hahahahahaha mkuu ni califonia ya mabatini mwanzaCalifonia ile ya 2pac? Labda Kalifonia ya nyakato mwanza
Utawalaumu bure hao jamaa, huko Moshi wako fevad cncy colonial era, hadi govt zote zilizopita ukiitoa hii, We angelia Dar na population yake lakini kuna sehemu kibao dawasco hawajafika ni maji ya visima tu watu wanakunywa tena walivyochimba wenyewe,Kiseke Mwanza mjini km 5 kutoka ziwa victoria maji yanatoka mara moja kwa Mwezi, nawalipia MWAUWASA nauli waje huko wajifunze!