MUWASA wafanya maajabu, wazungu watua Moshi kuja kushangaa

Nimepitia makala za California water group wameandika hakuna shortage na wanaweka mfumo mpya wakuhifadhi maji unaendelea kujengwa hapo Hawaii........ Labda wewe unaongelea California love ile kama jangwa kwenye wimbo wa 2pac

CBS13LIVE

[https://s2-wp-com]

New California Water Law Restricts How Much Water People Can Use

Author: Jennifer McGraw

June 8, 2018

[https://sacramento-cbslocal-com]

SACRAMENTO (CBS13) – There will soon be more focus on flushes and scrutiny over showers with a new law signed in by the governor.

California is now the first state in the nation to enact tough new water-efficiency standards. The controversial rules are targeted at water districts to cut per capita water usage, but in order to meet the goals, those cuts will trickle down to the customers they serve.

RELATED: Sacramento Looks To Ease Farmers’ Groundwater Use With Wastewater

“So that everyone in California is at least integrating efficiency into our preparations for climate change,” said Felicia Marcus, Chair of the State Water Resources Control Board.

So, what are the new rules?

In 2022, the new indoor water standard will be 55 gallons per person, per day. by 2030, it will fall to 50 gallons.

“With a child and every day having to wash clothes, that’s, just my opinion, not feasible. But I get it and I understand that we’re trying to preserve…but 55 gallons a day?” said Tanya Allen, who has a 4-year-old daughter.

Just how many gallons do household chores take?

ALSO: 12,000 New Homes In Folsom Ranch Project Raise Water Supply Worries

An 8-minute shower uses about 17 gallons of water, a load of laundry up to 40, and a bathtub can hold 80 to 100 gallons of water.

“She likes to bathe three times a day and she does laundry all day,” said Rocka Mitchell from Texas.

He and his wife Ginger are living in Sacramento for work and say it would be hard to conserve.

“I couldn’t do it. My family is way too large,” she said.

Retrofitting homes with water-efficient fixtures could help cut back.

“I think the average new home is 35 gallons per person per day, so we are not talking emergency conservation here,” Marcus said.

Greg Bundesen with the Sacramento Suburban Water District says they already assist customers.

RELATED: California Water Year Below Average, Reservoirs Benefit From Last Year’s Record

“We offer toilet rebates, we offer complementary showerheads, we offer complementary faucets,” he said.

The new laws also require water districts to perform stress tests of their water supply and curb loss due to leaks.

“Right now we lose up to 30 percent of urban water just to leaks in the system,” Marcus said.

Agencies believe fixing those leaks and educating residents is the key.

“Some people may not be aware that you’re going to use a lot more water in a bath and you wouldn’t shower and it’s our job to make sure they’re informed,” Bundesen said.

Water districts who don’t comply face fines up to $10,000 a day.

The ultimate goal is to make conservation a way of life in California. Outdoor water use is also covered by the new laws.

Standards will be based on a region’s climate and other factors instead of just one standard for the whole state.



EDITOR’S NOTE: This story has been edited to clarify the target of the water rules is water agencies, but that cutting usage will require cutbacks from downstream users.

Visit Full Site

2018 CBS Broadcasting Inc. All Rights Reserved.Powered by WordPress.com VIP

By viewing our video content, you are accepting the terms of our Video Services Policy

Privacy Policy (Updated May 24, 2018)



Terms of Use



Your California Privacy Rights



Mobile User Agreement



Ad Choices
 
Kwanza maji ya moshi yani unakunywa tu ya bomba na hutaumwa typhoid wala nini,halafu maji matamu,nikiwa moshi na nikiwa dar huwa nayamiss sana maji ya moshi,halafu hata soda za kanda hiyo ni tamu kuliko kwingine kwakuwa ya maji....
 
Kwa kweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
Mkoa wa Kilimanjaro unatisha kwa kila kitu katika huduma za jamii,mfano elimu,afya,usafi,lishe bora,ustaarabu,mazingira,nk.
Nimepita juzi usiku kuna mitaa wanatumia taa za solar barabarani 24/7 .
Hili la maji ni mfano kwa tulifika mkoani Kilimanjaro......natamani siku moja BUNGE LETU lifanye mabadiliko ya katiba IKULU IJENGWE MOSHI MKOANI KILIMANJARO KAMA SIO CHATO.
 
Hiyo ni korongoni kata sio soweto nadhani
Nliwachukulia wageni wangu nyumba hapo soweto walikuja kwenye mahubiri ya bushiri kuanzi tarehe 18 mpka 21 mwezi wa 9,walikaa siku 5 nyumba nliyochukua ni furnished house ilikua na shida ya maji
 
Nliwachukulia wageni wangu nyumba hapo soweto walikuja kwenye mahubiri ya bushiri kuanzi tarehe 18 mpka 21 mwezi wa 9,walikaa siku 5 nyumba nliyochukua ni furnished house ilikua na shida ya maji

Labda walikuwa wamekata maji na kuchukua mita ila moshi haina tatizo la maji maana miaka ile ya 1999 wakati mabomba yanawekwa presha ilikuwa ni kubwa mpaka mabomba yalikuwa yanapasuka. Na isitosha pale karibia na makaburuni limepita bomba kubwa almost line kipenyo cha nchi 12 sasa iwezekane vip maji hakuna maana sera ya nchi inasema bomba kubwa linapopita umbali wa km 15(kama sijakosea) wanainchi wanapaswa kupata huduma ya maji.

Maji yapo tena ya bomba na yana presha kubwa sana
 
Sehem ninayoishi kwanza maji ni baridi ya kutosha na pressure yake hadi ile shawer ilikua ya plastic ilipasuka
 
Kwann wasifnye kutngneza njia ya kuwauzia hao wenye uhaba, bdala ya kujisifia kuzima mitambo
 
Kiseke Mwanza mjini km 5 kutoka ziwa victoria maji yanatoka mara moja kwa Mwezi, nawalipia MWAUWASA nauli waje huko wajifunze!
Utawalaumu bure hao jamaa, huko Moshi wako fevad cncy colonial era, hadi govt zote zilizopita ukiitoa hii, We angelia Dar na population yake lakini kuna sehemu kibao dawasco hawajafika ni maji ya visima tu watu wanakunywa tena walivyochimba wenyewe,
 
Back
Top Bottom