MUWASA wafanya maajabu, wazungu watua Moshi kuja kushangaa


haha

haha

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Messages
650
Points
1,000
haha

haha

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2013
650 1,000
Utawalaumu bure hao jamaa, huko Moshi wako fevad cncy colonial era, hadi govt zote zilizopita ukiitoa hii, We angelia Dar na population yake lakini kuna sehemu kibao dawasco hawajafika ni maji ya visima tu watu wanakunywa tena walivyochimba wenyewe,
Sio kweli watu WA mosh they know how to organize issues partaing development !!!! Pia wanaamini ccm ndio inawachelewesha which is true
 
mzizimkuu1

mzizimkuu1

Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
77
Points
125
mzizimkuu1

mzizimkuu1

Member
Joined Apr 18, 2018
77 125
Water is tasteless FYI
sikatai ila baba katika harakat za kulijenga taifa kituoni moshi.....maji ya moshi ni tofauti pindi ukiyanywa ladha yake ni tofauti sana na mengine.
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
14,770
Points
2,000
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
14,770 2,000
Wacha tujivunie kuzima mitambo, maana hakunan vingine vya kujivunia
 
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,987
Points
2,000
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,987 2,000
Moshi ) Kilimanjaro ndio mwalimu wa kila kitu
Elimu
Afya
Miundombn nk
The Great Haya
instanbul
GUSSIE
fazili
sky éclat
Frank Wanjiru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Messages
703
Points
1,000
I

ikigijo

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2017
703 1,000
Katika hali isiyo ya kawaida lakini sio kawaida zaidi kwa nchi ya Kiafrika kufanya hivyo, mamlaka ya maji safi na maji taka mji wa Moshi (MUWAS) imeamua kuzima mtambo wake mmoja baada ya kuzalisha maji ya ziada kwa asilimia 270%.
Hali hiyo ilizishitua mamlaka nyingi za maji duniani ambapo mamlaka zinazohusika na maji Cape Town na California ,ambazo kwa kiasi kikubwa zimekumbwa na uhaba wa maji walifunga safari hadi Moshi kuja kujifunza ni hasa watu hawa wamewezaje.

Bila hiana MUWSA iliwapa elimu muhimu ya kuweza zalisha maji ya ziada katika maeneo yao ambapo walisema siri kubwa ni utanzaji wa vyanzo vya maji pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanya na serikali katika mitambo na miundombinu mingine.
Mamlaka nyingine mbili nazo kuzima mitambo kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Mkuu labda Mimi ndo sijakuelewa Hiyo Mamlaka ya Moshi imezima Mitambo ya Kuzalisha maji sasa Maji INA Maana yanatoka mtono yenyewe?
Hayasafishi?
Hayasafirishi na Pump kwenda kwenye Mabomba?
Au Kuzalisha maji unaelewaje?
Mimi najua
Unayatoa chini mfano Mtoni,Unayatibu na kusafirisha kupitia Mitambo
Sasa humu watu sijui hawaelewi wanakuunga mkono Mitambo kuzimwa sasa maji watapataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
1,680
Points
2,000
F

fazili

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
1,680 2,000
Moshi ) Kilimanjaro ndio mwalimu wa kila kitu
Elimu
Afya
Miundombn nk
The Great Haya
instanbul
GUSSIE
fazili
sky éclat
Frank Wanjiru

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisoma juzi juzi kuwa Moshi ndio manispaa inayoongoza Afrika kwa ipatikanaji wa maji kwa asilimia 100 yakiwa ndio maji bora zaidi Afrika. Cha ajabu kuna mikoa inapakana na maziwa makubwa Afrika lakini hakuna maji mtaani.
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,541
Points
2,000
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,541 2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,541
Points
2,000
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,541 2,000
Nilisoma juzi juzi kuwa Moshi ndio manispaa inayoongoza Afrika kwa ipatikanaji wa maji kwa asilimia 100 yakiwa ndio maji bora zaidi Afrika. Cha ajabu kuna mikoa inapakana na maziwa makubwa Afrika lakini hakuna maji mtaani.
Vipi kuhusu Meno kuoza we mtu wa Uru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
448
Points
1,000
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
448 1,000
CHADEMA at work.
Moshi kuna madiwani wengi sana ambao ni maendeleo oriented na ni wa CHADEMA
 
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,987
Points
2,000
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,987 2,000
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
4,987
Points
2,000
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
4,987 2,000
Nilisoma juzi juzi kuwa Moshi ndio manispaa inayoongoza Afrika kwa ipatikanaji wa maji kwa asilimia 100 yakiwa ndio maji bora zaidi Afrika. Cha ajabu kuna mikoa inapakana na maziwa makubwa Afrika lakini hakuna maji mtaani.
Haswaa wahaya dumu lá maji 500 wakati wapo ziwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,541
Points
2,000
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,541 2,000
Haswaa wahaya dumu lá maji 500 wakati wapo ziwan

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we ni kichaa kabisa.mvua zote za bukoba mwaka mzima eti kuwe na shida ya maji? Hivi tz kunasehemu inayopata mvua kama Bukoba? Hivi unajua bukoba kuna maziwa kibao mfano ikimba huko Bukoba vijijini,burigi na lile la kule karagwe na bado hujagusa ziwa Victoria.
Mamlaka ya maji bukoba inaitwa buwasa hebu ifuatilie na miradi yake sio kuongelea upupu hapa ndo maana Meno yako yameoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
3,541
Points
2,000
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
3,541 2,000

Forum statistics

Threads 1,285,027
Members 494,367
Posts 30,847,695
Top