Muvi na series zilizoandikwa vizuri

Muvi na series zilizoandikwa vizuri

Moja Kati ya movie zilizoandikwa Kwa ustadi mzuri ni SALT (2010) ya Angelina Jolie......
Na ina dialogue Kali Sana.... Kwangu inabaki kua movie Bora ya kijasusi niliyowahi kuiona...
Short story
Aveline Salt (Angelina Jolie) akiwa CIA agent (jasusi wa kimarekani) inagundulika kua analifanyia kazi shirika la ujasusi la urusi... Sasa anajikuta anawekwa Chini ya ulinzi lakini hayuko tayari Kukamatwa kwa kutumia mafunzo ya hali ya juu anaamua kutoroka matikati ya ma-spy.. lakini kadiri anavyojaribu kuthibitisha kutokuwa na hatia, ndivyo anavyoonekana kuwa na hatia zaidi. Je atakamatwa?

Movie nyingine Kali ni Undisputed 4 (2016).....
Short story
Boyka (Scott Adkins) Kwa bahati mbaya anamuua mpinzani wake ulingoni baada ya kumpiga makonde mazito...
Hii inshu inamtesa baada ya kugundua jamaa alikua na mke ambaye tayari ni mjane na ana madeni yaliyomfanya kua mtumwa casino ili afidie hasara.... Boyka anaamua kwenda kumuomba msamaha huyo mjane Kwa kumuua mumewe lakini mjane anakataa... Lakini Boyka anafosi king hatimaye anaamua kupigana mapambano matatu ili kumpa huyu mdada uhuru... Hapo ndipo kuna balaa maana wapinzani anaopangiwa sio watu wa kawaida.. Je atatoboa?? Kumbuka Yuri Boyka ni Undisputed... Ohooooo balaaa
 
Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting.

Binafsi moja ya vitu vinavyonivutia zaidi nikiwa naangalia muvi hua ni uandishi wa script na jinsi wanavyoigiza, yaani wanaongea vizuri na dialogues zao zinavutia...wanavyoact utadhani ni maisha halisi. Lakini angalia baadhi ya muvi usikie wanavyoongea yaani unaona kabisa mtu anaongea kitu alichokariri. Anagalieni maigizo kama The game of love, Saradini na menhine mengi tu ya musa banzi utajionea.

So katika uzi huu ningependa watu waorodheshe muvi walizotazama dialogues za zikawavutia na jinsi wanavyoigiza.

1: Game Of Thrones
Binafsi sidhani kama kuna muvi au series duniani iliyoandikwa vizuri kama hii yaani wakiwa wanaongea majibishano yao huwezi wachoka kuwasikiliza. Nimeshaitazama hii seriwa zaidi ya mara 200+ ila kila nikiitazama unaona mpya coz dialogues zimesima...akili kubwa ya bwana David Benioff na D.B.Weiss ilitumika.

Nitaendelea kuweka diologue na majina ya muvi zilizoandikwa vyema.

NB. Kila nikipata muda nitakua naweka series nilizotazama zikanivutia uandishi wake. So usikae mbali na uzi huu.
Karibuni...
View attachment 2752696
kama unapenda series/movies zenye good screenwriting tafuta series/movies za Japan na south korea, sisemei zile ambazo dada zetu wanaangalia zile za kike, zile zina drama za kijinga, achana na hizo tafuta zile zenyew kama unataka naweza kupa recommendations, na kama unapenda animation jaribu kuangalia Japanese anime(not Holywood animation kama Kung fu Panda, achana na hizo namaanisha Japanese animation a.k.a anime)
Achana na hao Holywood wezi tuu, Wanaiga sana idea za japan.

N.B; naongea hv kama mtu niliyekuwa mpenzi wa project za holywood sana, hadi nilikuwa nadownload baadhi ya script za movie nilizokuwa nazipenda haswa script za Quentin Tarantino na Paul Thomas Anderson napenda sana uandishi wao hawa jamaa, but nilipoanza kuangalia Japanese flicks nikagunguliwa Holywood ni wezi(sio wote lakini but most of them) hata Japan wanajua jamaa ni wezi, na nilipoanza kusoma manga na kuangalia anime nikaja kugundua movie na series nyingi nilizokuwa nadhania hazina mpinzani mfano "The Sopranos" dont even come close, in my opinion Japanese cinema is better and you should try it.
 
Linapokuja swala dialogue waingereza wapo vizuri sana

GOT is the best of the best kwenye dialogue.
 
Naungana mkono nawe, nimegundua wapo vizuri sana kwenye dialogue writing!
Series nzima ya GOT kulikua na waigiza ambao sio waingereza wawili tu. Peter Dinklage na Jason Momoa, na waandishi wote na director walikua waingereza. Angalia pia series ya Bridgerton imepangiliwa vyema kabisa
So, I concur
 
kama unapenda series/movies zenye good screenwriting tafuta series/movies za Japan na south korea, sisemei zile ambazo dada zetu wanaangalia zile za kike, zile zina drama za kijinga, achana na hizo tafuta zile zenyew kama unataka naweza kupa recommendations, na kama unapenda animation jaribu kuangalia Japanese anime(not Holywood animation kama Kung fu Panda, achana na hizo namaanisha Japanese animation a.k.a anime)
Achana na hao Holywood wezi tuu, Wanaiga sana idea za japan.

N.B; naongea hv kama mtu niliyekuwa mpenzi wa project za holywood sana, hadi nilikuwa nadownload baadhi ya script za movie nilizokuwa nazipenda haswa script za Quentin Tarantino na Paul Thomas Anderson napenda sana uandishi wao hawa jamaa, but nilipoanza kuangalia Japanese flicks nikagunguliwa Holywood ni wezi(sio wote lakini but most of them) hata Japan wanajua jamaa ni wezi, na nilipoanza kusoma manga na kuangalia anime nikaja kugundua movie na series nyingi nilizokuwa nadhania hazina mpinzani mfano "The Sopranos" dont even come close, in my opinion Japanese cinema is better and you should try it.
Mkuu maelezo yako yote yapo sahihi binafsi hua nikiona movie au animation yoyote ya japan hua naamin ni nzuri hasa interm of story and writing. Nimeifuatilia anime ya Attack On Titan niseme kwamba ni the best series kwa action, writing hadi story. Yaani kuna muda maadui wanabadirika wanakua masterling na masterling wanakua maadui. Kama umeicheki hii anime utakua unaelewa
 
Attack on titan ndo anime za kwanza mtu anashauriwa aangalie akianza kuonyesha interest kweny anime, sio tuu kwamba nimeangalia, nimesoma hadi manga zake and in my opinion Manga yake>>>>>>anime yake.
Kwa upande wa dunia ya GOT, kusema ukweli mi naona HOTD>>>>GOT maybe kwa sababu nimesoma kitabu chake "Fire and Blood" ila ilikuwa baada ya kumaliza GOT ndo nikaanza kusoma "Fire and Blood" nilivosikia wanatoa series yake aisee nilipagawa🤣🤣🤣
 
It's obvious manga they're always the best comparing to Anime version.
Kwa upande wa dunia ya GOT, kusema ukweli mi naona HOTD>>>>GOT maybe kwa sababu nimesoma kitabu chake "Fire and Blood" ila ilikuwa baada ya kumaliza GOT ndo nikaanza kusoma "Fire and Blood" nilivosikia wanatoa series yake aisee nilipagawa🤣🤣🤣
Kwamba hotd ni bora kuliko got?? Aisee.
Hotd ina madhaifu mengi sana na hata Writing hazijakaa kama kwenye got ambapo ndio watu wenhi walipenda got kutokana na dialogue zake
 
Nipende kumpongeza bwana Peter Doctor, Bwana huyu ni C.E.O wa kampuni ya kutengeneza animations iitwayo Pixar. Kwa wapenzi wa animation watakua wanaifahamu kampuni hii inaongoza kwa kutoa muvi za aina yake zinazofanya vizuri kwenye mauzo.

Mbali ya kua C.E.O lakini pia ni mtengenezaji wa animation katengeneza muvi zilizopendwa sana duniani. Mwanzoni nilijua huyu bwana itakua ni mtu mwenye PhD ya mwasala ya Psychology kutokana na muvi zakenyingi kua zina mrengo wa maswala ya Saikolojia. I was wrong!
He's just a regular person sema anaweza kufikirisha bongo yake vyema ndio maana anatoa muvi zenye kutafakarisha.

Kwenye muvi yake ya Inside Out akelezea vizuri sana Emotions (emotions sio feeling na imegawanyika katika makundi kadhaa) kwa urahisi. Mwenye kupenda aitafute hii muvi natumaini hatajutia muda wake, na atajifunza mengi sana humu.
1696405195770.png

-Soul
Humu kaelezea vizuri sana umuhimu wa kuishi maisha yako to the fullest kabla roho haijaacha mwili. Hii muvi ni nzuri sana, hua nikikosa usingizi naplay soundtrack yake. Very smooth jazz.
1696405395984.png

-Up
Nadhani hii ndio moja kati ya animation inayopendwa dunia nzima ni nzuri sana sana. Infundisha kua na utu +Huruma kwa wengine.

1696405320425.png

Hongera kwakwe bwana Peter Doctor,kwa kua CEO wa kampuni bora lakini kwa kutengeneza animations zenye kufikirisha sana🙏
1696405118217.png
 
Hotd ina madhaifu mengi sana na hata Writing hazijakaa kama kwenye got ambapo ndio watu wenhi walipenda got kutokana na dialogue zake
We sema GOT unaipenda sana hutaki ilinganishwe na HOTD ila sio kwamba HOTD ina mapungufu, in terms of dialogue haina mapungufu yeyote believe I'm an expert on that.

Kwa upande wa direction and cinematography HOTD is way better, na sio kwamba GOT ina dir. Na cinem. mbaya hapana but HOTD waliajiri very talented people.
Hata Critics wengi wa Hollywood wanasema HOTD>>>GOT, walichozingua HOTD walitaka Season yao ya kwanza kuchukua popularity kama ya GOT wakafeli but their filmmaking was on point.
 
Nipende kumpongeza bwana Peter Doctor, Bwana huyu ni C.E.O wa kampuni ya kutengeneza animations iitwayo Pixar. Kwa wapenzi wa animation watakua wanaifahamu kampuni hii inaongoza kwa kutoa muvi za aina yake zinazofanya vizuri kwenye mauzo.

Mbali ya kua C.E.O lakini pia ni mtengenezaji wa animation katengeneza muvi zilizopendwa sana duniani. Mwanzoni nilijua huyu bwana itakua ni mtu mwenye PhD ya mwasala ya Psychology kutokana na muvi zakenyingi kua zina mrengo wa maswala ya Saikolojia. I was wrong!
He's just a regular person sema anaweza kufikirisha bongo yake vyema ndio maana anatoa muvi zenye kutafakarisha.

Kwenye muvi yake ya Inside Out akelezea vizuri sana Emotions (emotions sio feeling na imegawanyika katika makundi kadhaa) kwa urahisi. Mwenye kupenda aitafute hii muvi natumaini hatajutia muda wake, na atajifunza mengi sana humu.
View attachment 2771321

-Soul
Humu kaelezea vizuri sana umuhimu wa kuishi maisha yako to the fullest kabla roho haijaacha mwili. Hii muvi ni nzuri sana, hua nikikosa usingizi naplay soundtrack yake. Very smooth jazz.
View attachment 2771325

-Up
Nadhani hii ndio moja kati ya animation inayopendwa dunia nzima ni nzuri sana sana. Infundisha kua na utu +Huruma kwa wengine.

View attachment 2771324
Hongera kwakwe bwana Peter Doctor,kwa kua CEO wa kampuni bora lakini kwa kutengeneza animations zenye kufikirisha sana🙏
View attachment 2771316
Mrs Van
Up sijaiona. Itabid niitafute. Inside out naipenda sana na napenda kuwaonesha watoto. ila soul nimeangalia mara moja tu sijairudia labda vile si mpenzi wa jazz
 
Woow if you are a fan of inside out, good news ni kwamba june 2024 mwendelezo wake unatoka. Itakua inahusu jinsi Riley atakavyokua anadeal na emotions zake katika kipindi cha Adolescent.
Nataman sana nione huu mwendelezo. Akili nyingi sana imetumika.

Naomba uitafute Up, ni nzuri sana hii muvi pengine kuzidi hata hizi zingine.
Kuhusu soul achana na maswala ya Jazz music wewe angalia tu stori ya hii muvi in depth utayatafakari upya maisha yako hapa duniani na maisha ya baada ya hapa
 
Cant wait for muendelezo. Soul haijanivutia kwakweli ila hubby anaipenda sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom