Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,781
- 107,233
- Thread starter
- #81
GOT ina nudity zaidi kuliko love story so sikupata tabu sana nilikua tu napeleka mbele. Ila Vampire diaries mapenzi mapenzi sijui kujaliana naona vinaboa kweli Damon na Elena they're very boring. Kiifupi kupendana, nudity, sex, kujaliana jaliana mimi sitakagi🙈Sasa mkuu mbona GOT umeweza kuiangalia na ina maudhui kama hayo, au mimi ndio sijaelewa ni mapenzi gani ambayo huyapendi, kuna uzi niliona unasema pia hupendi kuangalia watu wakifanya Sex je ndicho unachomaanisha