Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 622
- 1,011
Wewe ni katoto
Kama ulikua o level
ulilala usiku kwanz mbona asubuh asubuh upo Humu
Wewe ni katoto
Kama ulikua o level
Wewe ni katoto
Kama ulikua o level
Aaah hii nishainyooshea mikono kuwa it ain't for me😞Basi hata got hutatamani neno hata moja likupite.
Mbona hisia hazina mbabe 😂Niliipenda sana bridgerton, napenda sauti ya Eloise na jinsi Pen anavyoongea. Nasubir S3 nione kama Eloise atakua vipi na yule dogo anayePrint maana Eloise alikua anajifanya feminist sana hakujua hisia hazina mbabe🤣
Hapana sijaiona.vipi ushaona prequel yake ya Queen Charlotte??? Niliangalia tu trailer naitafutia muda niitazame hope itakua bomba pia maana waandaji ni walewale...Shondaland.
Nina shida ya kupata usingizi nimelala saa 10 kasoro ila saa 12 nipo macho. Sijui uzee wangu utakuaje
It's okay. Sio yote yatapendwa na kila mtu, kama mm nisivyopenda amapianoAaah hii nishainyooshea mikono kuwa it ain't for me😞
Hata uwe gaidi aje kuna mtu ataugalagaza moyo wako tu (kasoro mimi tu🏃)Mbona hisia hazina mbabe 😂
Hii series inahusu jinsi Queen charlotte alivyomuwin King George hadi akamuoa. Ni kama vile vile bridgerton ila inadeal na Queen charlotte na King George enzi za ujana.Hapana sijaiona.
Bonge moja la seriesNyie wote hamjaiona series ya SEE
Ahsante sana mkuu.... it's not easy
Yeah Damon Salvatore utamchukia mwanzo ila inavyozidi kuendelea utajikuta tu unampenda, mwingine niliyependa character yake ni Katherine Pierce aka Katerina Petrova, aloo Nina Dobrev character ya Katherine aliitendea haki zaidi kuliko za Elena, Amara, Tatia yani mpaka unasahau kwamba ni mtu mmoja aseeHii ilinishinda kutazama, maybe nitaipa muda.
The Vampire Diaries
Moja kati ya series maarufu za zamani ila nzuri sana. Binafsi niliingalia kwa kufuata maneno ya watu kwenye pages za series. Niliitazama nikawa naona inaniboa coz hua sipend sana mambo ya supernatural unless yawe Based on true story. Ila baada ya muda kuna character walianza kunivuti.
- Damon Salvatore; Ubaya ubaya tu jamaa alikua anamnyanyasa mdogo wake. Ni aina ya watu wanajifanya hawajali ila anajali sana kimya kimya, utamchukia sana kwenye S1 ila mbeleni utampenda. Napenda facial expressions ya uigizaji wake yaani kama vile haigizi Kumbe yupo mbele kamera
- Ellijah Mikaelson; Huyu jamaa ni aina fulani ya watu very loyal. Anaheshim sana makubaliano akitoa ahadi anaishika. Anaijali sana familia yake (The Originals) hua tunamuita Elijah the noble. Halafu ongea yake ya kijentlomen, hana haraka kabisa. Nilianza kuboreka S2 ila alipoonza kuonekana Elijah ilibid niendelee coz alinivutia sana uigizaji wake.
View attachment 2754019
- Klaus Mikaelson; Huyu ndio adui mkuu kwenye series ila utajikuta unampenda kuliko sterlings. Akitaka kukuua anakuambia kabisa halafu kazi kwako sasa maana lazima itimie atakachosema. Very gentleman na lafudhi yake ya kibritish.
Hata uwe gaidi aje kuna mtu ataugalagaza moyo wako tu (kasoro mimi tu)
Niwapongeze aisee waandaaji wa hii series walijitahidi story ni ndefu sana. Actors wamejitahiid sana kuigiza more than two characters ans the nailed it. Elijah he has my respect, namkubali sana mwamba🤙Yeah Damon Salvatore utamchukia mwanzo ila inavyozidi kuendelea utajikuta tu unampenda, mwingine niliyependa character yake ni Katherine Pierce aka Katerina Petrova, aloo Nina Dobrev character ya Katherine aliitendea haki zaidi kuliko za Elena, Amara, Tatia yani mpaka unasahau kwamba ni mtu mmoja asee
Kama huna tatizo kwenye hormones zako basi you can't resist spoils of love. I'm aware of my sexuality ndio maana I can bold say that love can't conquer or mend my emotions. I wish to know yours.This is not a universal law, you know, and remember to every general rule there are always exceptions
Moja kati ya animation bora iliyotaka mwaka huu Spiderman Across the Spider verse inaweza kua ndio bora ikifuatiwa na movie ya super Mario Bros. Kama mliitazama Spiderman into Spider verse 2019 basi huu ni muendelezo wake.
View attachment 2755063
- Niseme kati ya muvi zilizotoka mwaka huu zikaandikwa vizuri hii ni moja wapo. Napenda sana main villain Spot alivyoandikiwa dialogue, very funny and intimidating. Miguel O'hara na Miles wameandikwa vizuri. Comment zitakazofuata nitaweka baadhi ya dialogue nilizovutiwa nazo
- Action zake zipo poa sana kwa wapenzi wa animation hii sio ya kukosa. Itazame iwe na subtitles ufuatilie neno kwa neno
PrisonBreak..,
Gangs of london
Better call Saul Ni kiboko ya yote
Breaking bad
Prison break
All the queen's men
Dah hii GOT mim season 1 tuh ilinishimda..
Ntemi
Hata mimi Mkuu. Fantasy stories sio mikato yangu kabisa.
Nyie wote hamjaiona series ya SEE
Mie hata episode moja sikumaliza.
Sasa mkuu mbona GOT umeweza kuiangalia na ina maudhui kama hayo, au mimi ndio sijaelewa ni mapenzi gani ambayo huyapendi, kuna uzi niliona unasema pia hupendi kuangalia watu wakifanya Sex je ndicho unachomaanishaNiwapongeze aisee waandaaji wa hii series walijitahidi story ni ndefu sana. Actors wamejitahiid sana kuigiza more than two characters ans the nailed it. Elijah he has my respect, namkubali sana mwamba
Nisichokipenda kwenye hii series ni masuala ya mapenzi mapenzi, daah hua sipend habari za watu kupendana pendana. It's so disgusting
Series ya Iris nilitumia muda mwingi kupeleka mbele maana everytime mapenzi, uuffff.