Muuza kuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muuza kuku

Discussion in 'Jamii Photos' started by Askari Kanzu, Nov 24, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Jamaa huyu muuza kuku huko Singida amekuja na staili ya kivyake!

  muuza-kuku.jpg
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  jamani jamani, hiii haikuwemo kwenye maajabu mapya saba ya dunia??????
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hivi si tulishapitisha sheria ya haki za wanyama?
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  angejifunga hadi kichwani
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Kama haki za binadamu ziko kwenye mashaka, utaulizaje habari ya haki za wanyama???
   
 6. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,560
  Likes Received: 1,646
  Trophy Points: 280
  Wahusika wa haki za wanyama, kuku na bata pelekeni hii njemba mahakamani, alaaaa
   
 7. tama

  tama JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Maisha kweli kila mtu anatafuta atoke vipi,ila hao kuku anawanyanyasa bora angewaweka kwenye tenga.
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,641
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  hayo ni ya kweli na mimi mwenyewe nilishahakikisha kwenye minada ya arusha.
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,348
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  sheria inasema adhabu yake ni faini ya hapo hapo ya sh 5000 au akishindwa kulipa anaweza kuhukumiwa kwenda jela hadi miezi sita
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Mh.....:eyebrows:
   
 11. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha! Nadhani anaogopa hao kuku watamdony'oa macho ikiwa atawaning'iniza kichwani. Hiyo itakuwa hatari manaake anaweza kusababisha ajali na kuharibu biashara yote!
   
 12. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ziko wapi haki za wanyama?
   
 13. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka kufika anakoenda, atakuta wamekufa kuku
  kama 50, ambayo ndio faida yenyewe.
   
 14. z

  zayat JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wano husika na ukatili wa wanyama wako wapi ?
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,040
  Trophy Points: 280
  yeye hakuwemi, ila baba yake kashinda tuzo ya mtu wa ajabu duniani
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,296
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  nihurumie nihurumie...naumia naumia.(JOGOO AWIKA). mia
   
 17. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,874
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  Hapo kuku akikosea tu akaingiza shingo kwenye spoku anakatwa mara moja!
   
 18. s

  sawabho JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Siku hizi kila kiumbe kinavunja haki za msingi za viumbe vingine ili kiweze kuishi.
   
 19. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hivi hao kuku wakiamua watoe haja kubwa kwa pamoja,huyu jamaa atakuwaje?
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Ukatili kwa wanyama
   
Loading...