Muungano unalindwa kwa nguvu

Muungano unalindwa kwa nguvu

Wewe ni mtanganyika ndio maana nikakwambia uisome historia ya taifa lako tanganyika,au unataka kunambia tanzania ndio iliyopigania uhuru?
Wewe hujui Tanganyika ni nini na Mrima ni nini.

Sasa hata unapoandika Tanganyika hueleweki unamaanisha nini.

Si mtu wa kuniambia nisome historia ya Tanganyika, wakati hujui hata Tanganyika ni nini.
 
huko unakosema kijijini hakuna waganda ,warundi, wakenya , wa kongo . Kwani hao nao wameungana na Tanganyika ??
Wanadhani ni Wazanzibar tu ndio walioko Tanganyika lazima wajue pia wapo Watanganyika ambao wametopea mpaka kupata madaraka makubwa katika SMZ ...vikosi vya SMZ ananyimwa ajira kijana mzanzibari anapachikwa mtanganyika!!
 
Zanzbar kuna ubaguzi sn waunguja na pemba ni chui na paka, nakumbuka mwaka 2008 wapemba walipeleka madai ya kutaka kisiwa cha pemba kiwe nchi inayojitawala sijui wakiishia wapi. then wanaubaguzi sn hawa jamaa wao kila mtu kutoka bara utasikia kafiri ata kama muislam mwenzao siasa imewatawala sn hawa watu kiasi cha kutembeleana wala kuzikana kisa tu ccm na cuf sasa hv cuf haina nguvu kisa seif yupo act yajayo yanafurahisha. Nimeishi mlandege, nimekaa paje, mashambani huko makunduchi hadi nungwi kiasi watu wengi wanajua mie mzanzbar kwa kukaa sn huko
Mbona lawama zinapelekwa kwa Mpemba tu husemi muunguja ambae anacotrol serikali na nyenzo zote za ulinzi kumkandamiza mpemba...na anapozidiwa anamtumia mtanganyika kumnyamazisha mpemba ...mpemba Ingelikua Hana ujanja wa kuchakarika kwenye biashara angeliteseka Sana kwenye nchi hii ...pia huko Tanganyika ubaguzi uko kuna kipindi mlikua mnalalamika kuwa wizara ya fedha wamejazana wachaga watupu ...pia ni kawaida kabila flani kupeana ajira kwa kigezo Cha ukabila huko katika serikali ya Tanganyika ....uwepo wa makabila huko Tanganyika ni dalili ya uwepo wa ubaguzi kama hamna ubaguzi basi kataeni makabila ....nb mpemba siku zote anataka mabadiliko na matokeo chanya ndo maana anaonekana mbaya!!!
 
Huwa napenda kuanza majadiliano na definitions. Ili wote tujue na kukubaliana tunajadili nini.

Mathalani, mjadala huu anatajwa sana "Mzanzibari".

Nimeuliza hapa, Mzanzibari ni nani?

Jana nafikiri.

Mpaka leo sijaona jibu bado.

Kabla ya kujua "Mzanzibari" ni nani, uzi huu utatapatapa bila mjadala kuwa na muelekeo.
Kisheria Mzanzibar ni yule aliyeishi kabla na wakati wa Mapinduzi ya 64 ...hapo inajumuisha wenye vizazi kwa vizazi ambavyo vilizaliwa hapo au wale ambao waliokuja kutoka sehemu tofauti na Mapinduzi yakawakuta pale wote waligeuka na kuwa Wazanzibar bila ya kujali kabila zao au mahalo walipotokea
 
Kwa hiyo habari ya mtu aliyekaa Zanzibar miaka 10 ni Mzanzibari si sahihi?

Na Mzanzibari anajulikana kwa hati gani?

Kuna kitambulisho cha Uzanzibari au pasi ya kusafiri ya Zanzibar?
 
Mkuu naona umevaa jezi ya kiubishani lkn kwa sisi tuliofunzwa maadili bora tukae kimya coz hutaki kujifunza kupitia wengine sasa wewe baki na ubishi wako

Mpuuzi hupuuzwa over!!!!!!
 
Padri, hivi hujui kuwa vitambulisho vya uzanzibari vilianza kutolewa kabla vya Utanganyika ( utanzania)?
 
Mkuu naona umevaa jezi ya kiubishani lkn kwa sisi tuliofunzwa maadili bora tukae kimya coz hutaki kujifunza kupitia wengine sasa wewe baki na ubishi wako

Mpuuzi hupuuzwa over!!!!!!
Hujajibu niliyouliza na uliyojibu sijauliza.

Mzanzibari anajulikana kwa hati gani?
 
Kwa hiyo habari ya mtu aliyekaa Zanzibar miaka 10 ni Mzanzibari si sahihi?
Na Mzanzibari anajulikana kwa hati gani?
Kuna kitambulisho cha Uzanzibari au pasi ya kusafiri ya Zanzibar?
Unajua sina uelewa zaidi kuhusu masuala ya kikatiba na kisheria ...inavyotakiwa hata kama umetimiza miaka mitano sehemu fulani ambayo muhusika si mzawa inatakiwa aombe kisheria ...huwezi kuwa raia wa sehemu au mkaazi wa sehemu husika Kama hujaomba kisheria ...Mzanzibari anatambulika kwa kitambulisho Uzanzibar ambacho kipo kabla ya kitambulisho cha Utanzania ...japo kuwa kitambulisho cha Uzanzibar kwa sababu za kisiasa ananyimwa anaestahili na anapewa asietstahili ...wapo Wazanzibar wapo Zanzibar zaidi ya miaka 30/40 na hawajapewa kitambulisho cha Uzanzibar na wapo ambao si Wazanzibar wakitimiza mwezi ndani ya Zanzibar wanapewa vitambulisho vya Uzanzibar bila ya kikwazo
 
Vitambulisho vya Uzanzibari vya kabla ya Utanzania havikuondolewa na Mapinduzi ya 1964? Kuna vingine viliwekwa baada ya Mapinduzi ya January 1964 na kabla ya Muungano wa April 1964?

Katika miezi takriban mitatu serikali changa ya Mapinduzi ilitengeneza vitambulisho vya Wazanzibari?
 
Shehe hii sio mada ya kupinga uwepo wa mungu ...unatakiwa usome vizuri post ...hujaambiwa kama vitambulisho viliondolewa au havijaondolewa ...nimekwambia vitambulisho vya Uzanzibari vimekuja kabla ya vitambulisho vya Utanzania
 
Hujajibu nililokuuliza, na ulilojibu si nililokuuliza.

Swali langu umelielewa?
 
Hongkong ikiweza jitenga na china ntacomment kwa mara ya pili.
 
Huwa napenda kuanza majadiliano na definitions. Ili wote tujue na kukubaliana tunajadili nini.

Mathalani, mjadala huu anatajwa sana "Mzanzibari".

Nimeuliza hapa, Mzanzibari ni nani?

Jana nafikiri.

Mpaka leo sijaona jibu bado.

Kabla ya kujua "Mzanzibari" ni nani, uzi huu utatapatapa bila mjadala kuwa na muelekeo.
Njoo Zanzibar ni kuoneshe mzanzibari na kichogo
 
Wazanzibari wenyewe karibu wote Wamakonde, Wamatumbi, Wanyamwezi na Wazaramo waliohamia huko zamani sana.

Acha kujikweza na kutukana mizizi ya Wazanzibari wewe.

Au unafikiri Waarabu wale?
 
One of the dumbest union in the all world is this which have in Tanzania. Fellow countrymen are forced to believe something which is so contrary to what they want.
 
Back
Top Bottom