Habari za nchi na taifa (mbali na kabila) ni habari tulizoletewa tu na wageni, zimeanza katika mkataba wa Westphalia, baada ya kile kilichoitwa "Vita vya Miaka 30" huko Ulaya.
Vita ilipiganwa kati ya mwaka 1618 mpaka mwaka 1648.
Wakati wewe unataka kuniambia sijui historia ya taifa la Tanganyika, mimi nakueleza wewe kuhusu historia ya wazo la taifa.
Hiyo ndiyo tofauti yako wewe na mimi.
The HISTORY Channel - Geschichte erleben! The HISTORY Channel ist der deutschsprachige Pay-TV-Sender für spannende Dokumentationen und macht die Faszination von Menschen und Ereignissen täglich greifbar!
www.history.com