Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,995
- 146,320
Hujajibu niliyouliza na uliyojibu sijauliza.Naona umeamua kuvaa jezi
Kitambulisho cha Zanzibar kinatambulisha nini?
Hujajibu niliyouliza na uliyojibu sijauliza.Naona umeamua kuvaa jezi
Nimekwambia hivi, itoeni hiyo Zanzibar katika Muungano basi mtuondolee kelele.Wewe kweli umeshiba propaganda uchwara Wazanzibari sio asili yao unyamwezi na umakonde tu Wazanzibar wamechanganyika na watu wa mataifa mbali mbali na usitake kulazimisha kwamba wengi wao wametokea bara [Tanganyika] hata hao Watanganyika hapo walipo walikuja tu ...sio Kama muasisi wa Tanganyika alichipua tu hapo alitokea eneo moja kwenda jengine mpaka akafikia hapo Tanganyika
Kama kuna watu duniani tumeumbwa tofauti sana na wengine basi ni watu weusi, na wenye vinasaba vya uweusi. Hata hatujui kwanini tumeumbwa hivyo yatupasa tufanye nini. Ktk zama na nyakati hizi bado kuna watu wanazungumzia utaifa, ukoloni, udini, ukanda nknk wanaacha ya msingi ya kukamata fursa kubwa zilizoongezeka,,,haya lianzisheni huko, naona Afrika kuna karoho fulani kanachipuka, wanaokijenga wanafurahia sana.
Halafu, hivi kweli mzungu ana mapenzi yoyote mema kwa mtu mweusi na Afrika? Mbona kuna yake mnayakubali na kuyatolea mfano wa kuigwa na mengine mnamwita ni mshenzi? Mshenzi ni mshenzi tu hata chakula chake ni cha kishenzi tu,over.
Hujajibu niliyouliza na uliyojibu sijauliza.
Kitambulisho cha Zanzibar kinatambulisha nini?
Nimekwambia hivi, itoeni hiyo Zanzibar katika Muungano basi mtuondolee kelele.
Mnashindwa nini?
Inaonekana maelezo ya mwanzo yamekutosheleza ...maana nikikupa maelezo unarukia suala jengineNimekwambia hivi, itoeni hiyo Zanzibar katika Muungano basi mtuondolee kelele.
Mnashindwa nini?
Dah nakupa pole sana maana unalolifikiria ww karibuni tu litaondoka na Zanzibar itakua nchi kamili, mtu mwenye akili hatakubal muungano wa aina hii ipo haja tukae chini turekebishe muungano wetu na tuweke muundo uliokua imara lkn tukiacha hivi muungano tunaenda kuuvunja wenyew huu. Subiri tuLeo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
Hakuna popote pale dunia watu wote wakalingana kwa mawazo,Asilimia kubwa ya wanaotaka muungano uvunjwe hata wao hawajui ni kwa nini uvunjwe,hawajui madhaifu yake,hawajui hasara zake,hawajui ukivunjwa watafaidikaje yan n changamoto.Na elimu ilivyo ndogo kwa wa tz na wa znz basi wao ni kufuata tu ushawish wa viongoz wao wa vyama.
Inawezekana sababu za kuwepo zikawa chache lakini zikawa na nguvu.Na nina amini hata hawa wapinzani siku wakikamata dola bado wataulinda muungano sanasana wataleta porojo za kurekebisha baadhi ya mambo.
Siku moja nimekaa nasikiliza mdahalo ulifanyika znz raia kapewa mic ajielezw kwa nini hataki muungano unamsikia mtu anasema "hatuutaki muungani maana unatuletea malaya kutoka bara,mabaa yamejaa huku kwa ajili yao makafiri wamekuwa wengi hawavai nguo za staha"
Yan mpaka nikamuonea huruma nkaona ni chuki tu zimejengwa kutokana na udhaifu wa kukosa elimu dunia.Yan mtu anasahau kabisa kuwa ukiona biashara ujue wateja wapo sasa dada poa watoke bara wakauzie mawe biashaza zao znz?hapa ndio unapoona kuwa asilimia kubwa ya watu hawana utashi wa kudadavua nini wanataka,wanaacha wanasiasa wawasaidie kufikiri.
Kama ningekuwa na uwezo wa kufanya jambo katika huu muungano enzi hizo,ningegeuza znz kuwa moja ya mkoa wa TZ na JMT isingekuepo.
Pitia comment yang apo juu, Kenya ana uraia wake km nchi ana maamuzi yake ya kuweka urafiki na taifa lolote analolitaka lkn kwa Zanzibar haiwezekani, rejea bajeti ya Zanzibar iliyopita waziri wa fedha alisema wazi wazi kwamba kuna miradi ya zanzibar imekwama kwa sababu haijawekwa saini tu na wizara ya mambo ya nje ili Zanzibar inufaike na mkopo huo waliouomba zaidi ya miaka kumi, sasa mambo km haya unalinganishaje na Kenya.Sijui ni kwa namna gani tunaweza kujaribu kuwa na muungano,hiyo sumu ambayo inaonekana leo ipo katika muungano,inaweza kuwepo hata bila ya Muuunganp,kama haki hazipatikani kwa sababu ya muungano,hata wakenya wanalilia haki,wauganda wanalilia haki na bado hawapo ndani ya muungano,kirahisi kabisa watenganishe,uwatawale,mwenye busara hawezi kukubali kuvunja muungano,mungano siyo ndoa tukapeana talaka,muungano ni utu ni lazima uungana na kuweza kutengeneza mataifa makubwa,hata jumuia zetu za kiafrika zinashindwa kwenda ,mbele kwa sababu ya mambo kama haya,kiula mtu anaogopa nafasi yake kupotea,haya ni madhara ya mtu mweusi,mtu mweusi bado anahitaji kutawaliwa sana tu kwa miaka milioni mbili mingine,tutumie akili.
Hoja kubwa ya sisi kuitengeneza ni kuamua kutatua matatizo yaliopo ndani ya muungano lakini siyo kuja na hoja ya kuwa muungano haufai,mwingine akaamua kuongezea kabisa na kusema kuwa watu hawapati haki zao kwa sababu ya muungano,wakati huo huo ukitazama kila pande ya dunia watu wanalilia haki zao hali ya kuwa wapo nje ya muungano na wana matatizo makubwa kama yaliyopo ndani ya muungano.Pitia comment yang apo juu, Kenya ana uraia wake km nchi ana maamuzi yake ya kuweka urafiki na taifa lolote analolitaka lkn kwa Zanzibar haiwezekani, rejea bajeti ya Zanzibar iliyopita waziri wa fedha alisema wazi wazi kwamba kuna miradi ya zanzibar imekwama kwa sababu haijawekwa saini tu na wizara ya mambo ya nje ili Zanzibar inufaike na mkopo huo waliouomba zaidi ya miaka kumi, sasa mambo km haya unalinganishaje na Kenya.
Wengi wanadhani muungano hatuutak kwamba usiwepo moja kwa moja si hivyo, tunahitaji tubadili mfumo lkn kuuwacha hivi hivi ni kuhatarisha moja kati ya mawili ama Zanzibar kumezwa au kuvunjika na kua maadui, sisi tunaoipenda nchi hii hatukat kufika uko.
MUDA UTAAMUA
Pemba na Unguja so muungano kutobak salama au kubak sslama hy mambo hayaifany Zanzbar kunyima haki zake ktk muungano, na hii ni propanganda ya nyerere.Hoja kubwa ya sisi kuitengeneza ni kuamua kutatua matatizo yaliopo ndani ya muungano lakini siyo kuja na hoja ya kuwa muungano haufai,mwingine akaamua kuongezea kabisa na kusema kuwa watu hawapati haki zao kwa sababu ya muungano,wakati huo huo ukitazama kila pande ya dunia watu wanalilia haki zao hali ya kuwa wapo nje ya muungano na wana matatizo makubwa kama yaliyopo ndani ya muungano.
Kuukata muungano nalo ni tatizo kubwa kuliko tatizo la muungano.
Tiutakua na akili dhaifu sana kama tutaamua tu kuuvunja muungano kwa sababui ya changamoto fulani zilizopo ndani ya muungano.
Tuchukulie mfano leo tuimevunja muungano kwa sababu fulani fulani,vipe Pemba na Unguja zitaweza kubaki salama iwapo zitakua ndani ya umoja wao kama tu baadhi ya mambo mapya yaingia kwaoi na kuanza kuwa changamoto mpya.
Inawezekana propaganda za Nyerere zikawa zimetenganisha mataifa mengi duniani,hii nayo ni hoja ya kitoto sana.Pemba na Unguja so muungano kutobak salama au kubak sslama hy mambo hayaifany Zanzbar kunyima haki zake ktk muungano, na hii ni propanganda ya nyerere.
Naomba tu uielewe hoja yangu hutatak kuuvunja muungano lkn kuna haja ya kurekebisha muundo wa muungano, kuuwacha hivi ulivyo ni hatar na ndio kunazalisha chuki na hata hizo harakt za watu kusema usiwepo. Hii ni kwa sisi wenye akili.
Asilimia kubwa ya wanaotaka muungano uvunjwe hata wao hawajui ni kwa nini uvunjwe,hawajui madhaifu yake,hawajui hasara zake,hawajui ukivunjwa watafaidikaje yan n changamoto.Na elimu ilivyo ndogo kwa wa tz na wa znz basi wao ni kufuata tu ushawish wa viongoz wao wa vyama.
Inawezekana sababu za kuwepo zikawa chache lakini zikawa na nguvu.Na nina amini hata hawa wapinzani siku wakikamata dola bado wataulinda muungano sanasana wataleta porojo za kurekebisha baadhi ya mambo.
Siku moja nimekaa nasikiliza mdahalo ulifanyika znz raia kapewa mic ajielezw kwa nini hataki muungano unamsikia mtu anasema "hatuutaki muungani maana unatuletea malaya kutoka bara,mabaa yamejaa huku kwa ajili yao makafiri wamekuwa wengi hawavai nguo za staha"
Yan mpaka nikamuonea huruma nkaona ni chuki tu zimejengwa kutokana na udhaifu wa kukosa elimu dunia.Yan mtu anasahau kabisa kuwa ukiona biashara ujue wateja wapo sasa dada poa watoke bara wakauzie mawe biashaza zao znz?hapa ndio unapoona kuwa asilimia kubwa ya watu hawana utashi wa kudadavua nini wanataka,wanaacha wanasiasa wawasaidie kufikiri.
Kama ningekuwa na uwezo wa kufanya jambo katika huu muungano enzi hizo,ningegeuza znz kuwa moja ya mkoa wa TZ na JMT isingekuepo.
Umoja wa ulaya ulipoanza kuungana ulianza na nchi ngapi?Inawezekana propaganda za Nyerere zikawa zimetenganisha mataifa mengi duniani,hii nayo ni hoja ya kitoto sana.
Mataifa mengi ambayo hayakua ya muungano nayo unataka kusema yalipotengana yalikuwa yanafuata hoja ya Nyerere ?
Waafrika ni raisi sana kuwatawala kwa sababu wana akili za utengano.
Kwahiyo unataka kuweka wazi kuwa maslahi mapana ya nchi yenu yanapatikana nje ya Muungano ?Umoja wa ulaya ulipoanza kuungana ulianza na nchi ngapi?
Kwanini Uingreza imejitoa? Afrika ni kweli tunayo matatizo yetu lkn hakuna sio kila kitu uione Afrika ni mbaya ni fikra za mabeberu hizo.
Asilimia kubwa ya vijana wa leo tumezaliwa ndani ya muungano lkn hii haimaanishi tusihoji muundo uliopo kwa sababu walioleta muungano huu ni binaadamu pengne kuna mahala wameteleza. Hatufikirii kujitenga lazma tufikirie maslahi mapana ya nchi yetu.
upo ndotoni na haujui unacho kisemaDah nakupa pole sana maana unalolifikiria ww karibuni tu litaondoka na Zanzibar itakua nchi kamili, mtu mwenye akili hatakubal muungano wa aina hii ipo haja tukae chini turekebishe muungano wetu na tuweke muundo uliokua imara lkn tukiacha hivi muungano tunaenda kuuvunja wenyew huu. Subiri tu