Kitambulisho Cha Uzanzibari kilianza kutoka tokea 2005Kitambulisho cha Uzanzibari kilichopo kabla ya kitambulisho cha Utanzania ni kipi? Unatumia kigezo gani kusema kipo kabla ya kitambulisho cha Utanzania?
Hapo Watanganyika mnapofeli ...historia ya kipropaganda mmeiandika wenyewe halafu mnaipotosha ...Wazanzibari hawajatokea Dodoma tu wapo waliotokea Msumbiji ...Malawi ...Kenya hususan Mombasa na Lamu ...Somalia ...Uganda ...mbali waliotokea bara Arabu wapo waliotokea Indonesia ...Malaysia wapo waliotokea India China na hao watu vizazi vyao vipi mpaka leo ...pia historia inatueleza watu waliotokea msitu wa Congo na kama watu waliotokea Congo walifanya kuhama tu kwa ajili ya vita vya kugombea maeneo kilimo au mifugo na kama ni hivyo hata hapo Dodoma palikua hakuna mtu yeyote watu walikuja tu hapo ...sioni mantiki ya kujisifu eti watu wa Zanzibar ni Wamakonde na wagogoWazanzibari wenyewe karibu wote Wamakonde, Wamatumbi, Wanyamwezi na Wazaramo waliohamia huko zamani sana.
Acha kujikweza na kutukana mizizi ya Wazanzibari wewe.
Au unafikiri Waarabu wale?
Sasa huyo Mwinyi kazaliwa bara na kaenda kuwa rais Zanzibar alikuwa rais bila ya kitambulisho cha Uzanzibari?Kitambulisho Cha Uzanzibari kilianza kutoka tokea 2005
Kwaninwapi nimekwambia hawajatoka huko?Hapo Watanganyika mnapofeli ...historia ya kipropaganda mmeiandika wenyewe halafu mnaipotosha ...Wazanzibari hawajatokea Dodoma tu wapo waliotokea Msumbiji ...Malawi ...Kenya hususan Mombasa na Lamu ...Somalia ...Uganda ...mbali waliotokea bara Arabu wapo waliotokea Indonesia ...Malaysia wapo waliotokea India China na hao watu vizazi vyao vipi mpaka leo ...pia historia inatueleza watu waliotokea msitu wa Congo na kama watu waliotokea Congo walifanya kuhama tu kwa ajili ya vita vya kugombea maeneo kilimo au mifugo na kama ni hivyo hata hapo Dodoma palikua hakuna mtu yeyote watu walikuja tu hapo ...sioni mantiki ya kujisifu eti watu wa Zanzibar ni Wamakonde na wagogo




Ufaransa ilishindwa kuifanya Algeria mkoa , mtakuwa nyinyi mlio hoi bin taabani
Sasa kwanini ukasema Wazanzibari ni wamakonde na wazaramo na kwanini usiseme Wazanzibari ni waganda na watu wa Lamu ...kuhusu Muungano usidhani kama ujanja wa Nyerere au Watanganyika hii ni plan iliyosukwa kiakili na Waingereza pamoja na Wamarekani na ime base kwenye siasa kuzuwia ukominist usije ukaingia au kuenea Afrika ya mashariki na nchi za maziwa makuu ...kumbuka kabla ya Mapinduzi Zanzibar ilikua ni nchi yenye ushawishi ...na pia uislamu umetuponza ...angalia hata Mombasa ya Kenya ilivyogandamizwa na KenyaKwaninwapi nimekwambia hawajatoka huko?
Sasa mbona hamjaingia muungano na nchi hizo?
Haya basi, fanyeni iwe nchi mtuondolee kelele.
Mnachoshindwa nini?
Mmezidiwa akili?
Bora nikuulize una umri gani ...maana naona tunapigishana kelele tu ....kumbuka huu sio mjadala wa kupinga uwepo wa Mungu ...narudia tena kitambulisho cha Uzanzibari kilianza kutoka mwaka 2005 ...narudia tena kitambulisho cha Uzanzibari kilianza kutoka miaka ya 2005 ...kuhusu Mwinyi alizaliwa bara alikuja Zanzibar mdogo sijui Kama alikuja na wazee au vipi maana wengine wanasema aliletwa kuja kulelewa na alikuja huku kabla ya Mapinduzi ...kukuwepo kwake huku mpaka Mapinduzi yakamkuta akiwa Zanzibar original akawa Mzanzibar kupitia kile kigezo cha kila ambae Mapinduzi yalimkuta akiwa Zanzibar ...kupitia hivyo akawa na haki zote za Uzanzibar na miongoni mwa hizo haki ni huo urais alioupata ...kwa miaka hio hakukua na kitambulisho cha Uzanzibar ...kitambulisho kilianza kutoka 2005 kama nilivyokueleza mwanzo ...samahani kama itakua nimekuchosha kwa andiko refuSasa huyo Mwinyi kazaliwa bara na kaenda kuwa rais Zanzibar alikuwa rais bila ya kitambulisho cha Uzanzibari?
Zanzibar ni nchi?
Umesikia FIFA wamekataa Zanzibar kuwakilishwa na timu ya taifa katika michezo ya kimataifa kwa sababu Zanzibar si nchi? Ni semi atonomous part of Tanzania, unaelewa tofauti?
Nimekwambia itoeni hiyo Zanzibar katika Muungano basi mtuondolee kelele.Sasa kwanini ukasema Wazanzibari ni wamakonde na wazaramo na kwanini usiseme Wazanzibari ni waganda na watu wa Lamu ...kuhusu Muungano usidhani kama ujanja wa Nyerere au Watanganyika hii ni plan iliyosukwa kiakili na Waingereza pamoja na Wamarekani na ime base kwenye siasa kuzuwia ukominist usije ukaingia au kuenea Afrika ya mashariki na nchi za maziwa makuu ...kumbuka kabla ya Mapinduzi Zanzibar ilikua ni nchi yenye ushawishi ...na pia uislamu umetuponza ...angalia hata Mombasa ya Kenya ilivyogandamizwa na Kenya
Kitambulisho cha Uzanzibari kinatambulisha nini?Bora nikuulize una umri gani ...maana naona tunapigishana kelele tu ....kumbuka huu sio mjadala wa kupinga uwepo wa Mungu ...narudia tena kitambulisho cha Uzanzibari kilianza kutoka mwaka 2005 ...narudia tena kitambulisho cha Uzanzibari kilianza kutoka miaka ya 2005 ...kuhusu Mwinyi alizaliwa bara alikuja Zanzibar mdogo sijui Kama alikuja na wazee au vipi maana wengine wanasema aliletwa kuja kulelewa na alikuja huku kabla ya Mapinduzi ...kukuwepo kwake huku mpaka Mapinduzi yakamkuta akiwa Zanzibar original akawa Mzanzibar kupitia kile kigezo cha kila ambae Mapinduzi yalimkuta akiwa Zanzibar ...kupitia hivyo akawa na haki zote za Uzanzibar na miongoni mwa hizo haki ni huo urais alioupata ...kwa miaka hio hakukua na kitambulisho cha Uzanzibar ...kitambulisho kilianza kutoka 2005 kama nilivyokueleza mwanzo ...samahani kama itakua nimekuchosha kwa andiko refu
Sasa huyo Mwinyi kazaliwa bara na kaenda kuwa rais Zanzibar alikuwa rais bila ya kitambulisho cha Uzanzibari?
Zanzibar ni nchi?
Umesikia FIFA wamekataa Zanzibar kuwakilishwa na timu ya taifa katika michezo ya kimataifa kwa sababu Zanzibar si nchi? Ni semi atonomous part of Tanzania, unaelewa tofauti?
Sio ina asili ya vinasaba tu, ni sehemu ya dola la MLIMA ambalo makao yake makuu yalikuwa ni Kilwa, sasa kuhamia Dar then Dom ingebadilisha kitu gani hapo? Wazanzibar kama wasouth Africa ni jamii za kuwaonea tu huruma, minds zao ziko affected sana na utumwa na ukoloni, sasa so bora hata anko zako ndio wakutawale kuliko zimwi usilolijua? Mnatawaliwa hadi kidini,kimavazi na kiutamaduni unadhani kwenu ukombozi ni jambo la karne ngapi mje kujitambua? Si mchezo.Nimekwambia itoeni hiyo Zanzibar katika Muungano basi mtuondolee kelele.
Mmezidiwa nini na walioiweka katika Muungano?
Akili?
Umefuatilia kwa nini nimekuambia kwamba Wazanzibari wengi wana asili ya bara na kwa nini kuwasema vibaya watu wa bara ni kuwa mpumbavu usiyejua asili ya Zanzibar?
Unajua kwamba ukiitenga Zanzibar kutoka bara mziki ndiyo kwanza utakuwa unaanza, siyo unaisha?
Naona umeamua kuvaa jeziKitambulisho cha Uzanzibari kinatambulisha nini?
Mathalani, nikiulizwa kitambulisho cha Utanzania kinatambulisha nini, nitasema k8natambulusha uraia wa Tanzania. Mtanzania ni raia wa Tanzania.
Uzanzinari ni nini? Kitambukisho cha Uzanzibari kinatambulisha nini? Kina nguvu gani? Kinatambulika wapi na wapi hakitambuliki?
Watu wameenda kuomba timu ya Zanzibar iingizwe kwenye mashindano ya soka FIFA, wakakataliwa. Umefuatilia kwa nini wamekataliwa?
Wewe kweli umeshiba propaganda uchwara Wazanzibari sio asili yao unyamwezi na umakonde tu Wazanzibar wamechanganyika na watu wa mataifa mbali mbali na usitake kulazimisha kwamba wengi wao wametokea bara [Tanganyika] hata hao Watanganyika hapo walipo walikuja tu ...sio Kama muasisi wa Tanganyika alichipua tu hapo alitokea eneo moja kwenda jengine mpaka akafikia hapo TanganyikaNimekwambia itoeni hiyo Zanzibar katika Muungano basi mtuondolee kelele.
Mmezidiwa nini na walioiweka katika Muungano?
Akili?
Umefuatilia kwa nini nimekuambia kwamba Wazanzibari wengi wana asili ya bara na kwa nini kuwasema vibaya watu wa bara ni kuwa mpumbavu usiyejua asili ya Zanzibar?
Unajua kwamba ukiitenga Zanzibar kutoka bara mziki ndiyo kwanza utakuwa unaanza, siyo unaisha?
Huu si muungano. Huu ni uvamizi uliopewa jina la muunganoMUUNGANO ni jambo nyeti sana.