Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Muungano hauwezi kufa
Kwahiyo wewe mawazo yako ndio hayo?kula bata tu mkuu mambo ya utalii wa ndani alafu nilienda kuonja watoto wa kipemba si unajua waarabu waarabu flani wangazija wale
Tunadumisha muungano mkuu mbona nyie mwaja oa bara huku shekheeKwahiyo wewe mawazo yako ndio hayo?
Acha ujingaTunadumisha muungano mkuu mbona nyie mwaja oa bara huku shekhee
Umesoma lkn au hebu pitia tena ayo majibu niliokupa mwazo utapta jibuAli Hassan Mwinyi ni Mzanzibari au si Mzanzibari?
Dada akitoka kwao Mwanza na kuzaa mtoto Zanzibar, mtoto anakuwa Mzanzibari au si Mzanzibari?
Wapemba waliozaliwa Pemba lakini wamelowea Dar es salaam miaka mingi, wakizaa watoto Dar, hao watoto ni Wazanzibari au si Wazanzibari?
Hata wewe umeshindwa kunionesha wapi sijaelewa, kama sehemu sijaelewa.Umesoma lkn au hebu pitia tena ayo majibu niliokupa mwazo utapta jibu
Tatzo lenu wabongo hampendi kuenda deep kweny maandiko munaona km mtu kaandika mstar wa singeli
Kiranga said:Hata wewe umeshindwa kunionesha wapi sijaelewa, kama sehemu sijaelewa.
Sasa ubalaumu watu hawataki kuenda deep, wakati.
1. Maswali yangu naona hujayajibu, na kama umeyajibu sijakuelewa.
2. Hujaonesha wapi umeyajibu maswali yangu, na wapi sijakuelewa.
Hapo nani kashindwa kwenda deep sasa?
Hujajibu swali, Ali Hassan Mwinyi ni Mzanzibari au si Mzanzibari?Kiranga said:
Ali Hassan Mwinyi ni Mzanzibari au si Mzanzibari?
Swali hili limezaliwa na majibu niliyokupa ambalo limetokana na swali mama
Mzanzibar ni nani ?
Sasa nadhani majibu ya swali mama umepata ndio ukaja hapa na swali lako jengine so ili kupata majib rejea tena kwenye jawabu
Kwasabab umeuliza mzanzibar ni nani ( total )
Ali Hassan mwinyi ni mzanzibar? ( individual)
Kihesabat jibu tyr unalo au hujasoma******
Umeona sifa ya kuzaliwa tu nilisema pia kuna kuishi mfululizo kwa miaka iliyowekwa kisheriaHujajibu swali, Ali Hassan Mwinyi ni Mzanzibari au si Mzanzibari?
Ukisema Mzanzibari ni mtu aliyezaliwa Zanzibar, halafu hatujajadiliana Mwinyi kazaliwa wapi, halafu nikauliza Mwinyi ni Mzanzibari au si Mzanzibari, jibu lako la kwamba Mzanzibari ni mtu aliyezaliwa Zanzibar halinielezi lolote kuhusu kama Mwinyi ni au si Mzanzibari.
Baada ya habari ya kuzaliwa, umeandikaUmeona sifa ya kuzaliwa tu nilisema pia kuna kuishi mfululizo kwa miaka iliyowekwa kisheria
Inabidi tuje na kamusi ya BAKIZA maana kiswahili cha kamusi ya BAKITA hukifahamBaada ya habari ya kuzaliwa, umeandika
"Au ni yule mtu ambae amefuata sheria za kua mzanzibar kwa mujibu wa sheria zilizopo (kuishi miaka 10 mfululizo) "
Kwa hiyo, kuishi miaka 10 mfululizo Zanzibar kunakupatia uraia wa Zanzibar kisheria?
"Kuishi mfululizo" maana yake nini?
Hujajibu kuishi mfululizo ni nini wala Mzanzibari ni nani.Inabidi tuje na kamusi ya BAKIZA maana kiswahili cha kamusi ya BAKITA hukifaham
Sishangai lkn
Inamaana hujui kuishi mfululizo ?
Then turud kidogo kwenye mjadala unapoliangalia suala la mzanzibar ni nani hasa ujue limejawa na utata kwasabab za kisiasa ima kwa kuinuaisha Tanganyika au kwa kuiuwa Zanzibar hilo lazma tulikubali
Katiba ya Zanzibar imemtaja mzanzibar ni nani lkn nje ya katiba hii kuna jambo la uraia ambalo Zanzibar yenyewe haina mamlaka nayo so sisi wazanzibar wa leo ambao tumezaliwa ndani ya muungano tunapata mashaka na muungano huu
Ila naona kama unakaza ubongo mkuu maana jamaa kama kashaeleza kwa uelewa wake au hajaeleza duhHujajibu kuishi mfululizo ni nini wala Mzanzibari ni nani.
Sijui anataka nimueleze vp nashindwa kumuelewa jamaaIla naona kama unakaza ubongo mkuu maana jamaa kama kashaeleza kwa uelewa wake au hajaeleza duh
Ila naona kama unakaza ubongo mkuu maana jamaa kama kashaeleza kwa uelewa wake au hajaeleza duh
Amesema,Mzaliwa au mtu alieishi miaka 10 mfululuzo ni Mzanzibari..ukamuuliza kuhusu Mwinyi nadhani ulitakiwa kuangalia kama Mwinyi anafit hizo sifa useme mwenyewe na sio kumpa kazi ya kukujibu kitu kingine ambacho ni swala rahisi tuNeno kukazana kwa tuliozaliwa Dar ni matusi.
Inawezekana uelewa wake unahitaji uelewa.
Sasa mtu anayeishi Zanzibar miaka 10, tuseme dada yangu katoka Mwanza, ku apply u Zanzibari ana apply wapi? Idara ya uhamiaji ya Zanzibar iko wapi? Passport ya Zanzibar inatolewa wapi? UZanzibari una hati gani?Amesema,Mzaliwa au mtu alieishi miaka 10 mfululuzo ni Mzanzibari..ukamuuliza kuhusu Mwinyi nadhani ulitakiwa kuangalia kama Mwinyi anafit hizo sifa useme mwenyewe na sio kumpa kazi ya kukujibu kitu kingine ambacho ni swala rahisi tu
Mwinyi ana hizo sifa?kama ni ndio basi ni Mzanzibari kama hafit basi sio.
Au labda swali lenye ulazima lingekua kama hizo sifa alizotaja ni ukweli au kadanganya na sio kumuuliza kuhusu Mwinyi maana watu ni wengi hawezi kuanza kufatilia kila mtu ajue ni Mzanzibari au sio ila wewe kwa kua umeonesha interest kwa Mwinyi basi ungekuja na taarifa zake ili uangalie vile vigezo alivyokujibu kwenye swali la kwanza(ikiwa umethibitisha ni vya kweli) na sio kuanza kumuuliza tena maswali kuhusu watu wengine ambao ni ngumu kujua.Yeye anajua tu generally kua Kigezo ni kuzaliwa au kuishi kwa 10+ yrs consecutive!!!kwa hio usimuulize kuhusu Mwinyi labda uliza kuhusu uhalali wa alichokisema.
Halafu ukaja tena kuuliza kuhusu kuishi Zanzibar miaka 10 mfululizo ni nini?seriously hili nalo swali la msingi??kwamba wewe hufahamu mtu akisema aliishi Zanzibar miaka kumi mfululizo ina maana gani?naona kama unarefusha mada kwa maswali ya manipulative tu.Au labda unajitoa ufahamu kua kiswahili huna ujuzi nacho sana kwamba hufahamu..ntakimbia dakika 10 mfululizo,ntaenda kucheza mpira kwa dakika 45 mfululizo,nililala masaa matatu mfululizi...hizi nazo utasema huelewo???
Okay Ukauliza “kwa hio mtu akizaliwa tu Zanzibar anakua Mzanzibari?” Hivi hili ni swali la kuuliza kweli baada ya yeye kutoa maelezo yake???si alishasema au unataka arudie tu..kama unashida na maelezo yake si uende tu moja kwa moja na sio kuuliza kitu ambacho kutokana na maelezo yake jibu liko wazi kua ‘NDIO’.
Acha mambo yako mkuu usipende kumfanya mtu akuignore kwa kuzunguka saaaana
Kumbe ulimuelewa jamaa sasa,na hichi ndio nilikua nakiongelea mimi...haya ndio maswali ya msingi na sio kurudia rudia kama ulivyokua unafanya..sikua upande wake ila nilikua nakushangaa why uulize maswali mara mbili mbili...haya ataendelea kukujibu mwenyeweSasa mtu anayeishi Zanzibar miaka 10, tuseme dada yangu katoka Mwanza, ku apply u Zanzibari ana apply wapi? Idara ya uhamiaji ya Zanzibar iko wapi? Passport ya Zanzibar inatolewa wapi? UZanzibari una hati gani?
Maana Mwinyi kazaliwa Kivure mkoa wa Pwani, bara, na kaenda kuwa rais wa Zanzibar, na sijasikia yeye wala mtu mwingine yeyote alivyoomba uZanzibari kwa sifa ya kukaa Zanzibar miaka 10.
Hawa watu wengine kuelewana nao bila kurudia swali mara nne nne ni vigumu.Kumbe ulimuelewa jamaa sasa,na hichi ndio nilikua nakiongelea mimi...haya ndio maswali ya msingi na sio kurudia rudia kama ulivyokua unafanya..sikua upande wake ila nilikua nakushangaa why uulize maswali mara mbili mbili...haya ataendelea kukujibu mwenyewe
Okay nimeelewa ulichokua unafanya.Ila nimepata maswali na mimi.Hawa watu wengine kuelewana nao bila kurudia swali mara nne nne ni vigumu.
Na hata ukirudia, wanaweza kukubishia kwa hisia, wakaacha kuangalia ukweli.
Hivyo, mjadala unaweza kuwa unahusisha na wengine wengi watakaoona kwamba huyu hapa kashindwa kujibu swali licha ya kuulizwa mara nne.
Najibizana naye, lakini wanaosoma na kufaidika na majibizano ni wengi.