Muungano ukivunjika

Umesahau kitu kimoja, na Pemba itapata Uhuru wake na kuwa nchi na kupata mazagazaga kibao, kwa hiyo ngoma droo
 
Umesahau kitu kimoja, na Pemba itapata Uhuru wake na kuwa nchi na kupata mazagazaga kibao, kwa hiyo ngoma droo
Unaijua Pemba ilivyo kaa? "bila ya Pemba hakuna Zanzibar, bila ya Unguja hakuja Zanzibar.
 
One day dreams will come true, our hopes will never die, vitakufa vyama tu.
 
ila wazanzibar wabaguzi jmn dah! Mna hulka kama ya waarabu.
 
Hamjui Wazanzibari walijazana
hamjui wanzanzibari walijazana huku bara wewe acha zako. Muungano ukuvunjik Znz inagawanyika inakuwa Pemba ya na Unguja ya ASP. Naujua hata na nyie ccm hamuipendi ni basi tu.
 
Wapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Hicho kitu hakuna.Na huku kuna Watanganyika lukuki tena wamenufaika haswaa
 
Kuna faida nyingi zaidi kuendelea kua na muungano kuliko kuuvunja
1. Kuendelea kua na jamhuri ya muungano wa Tanzania
2. Kuharamisha maazimio ya mkutano wa Berlin ulioigawanya Africa.
3. Kufuta machozi ya wa africa waliopelekwa bila ridhaa yao Zanzibar
4. Kuharamisha uwepo wa sultani kama raia wa Zanzibar
5. Kuunganisha watu wa historia moja walionyang'anywa uhuru wao na wa-Oman
Kuirudisha sehemu ya Africa ilotwaliwa na waarabu .

Kama haya yote ni sababu basi mtu wa pemba ana fursa sawa na mtu wa Dar es salaam.
 
Vilevile wazanzibari wote waliopo bara itabidi warudi kwao........SASA HUU UTAKUWA NI MSIBA
 
wenzenu wapi wanaoungana unaweza kututajia nchi moja tu PLEASE
 
Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...
Ni jambo rahisi mbona wala hauhitaji PhD kuelewa.
We don't need an Islamic State near our borders! Islamic States tend to be security nightmares!
 
Mbona hizi "Artificial Unions" zimeshakufa nyingi tu hapa duniani? Ile ya USSR, Yugoslavia, Senegambia, United Arab Republic, Rep of Somalia, Ethiopia/Eritrea Nk. Hii haitakuwa "Exception" and time will tell.
haitokuja kutokea
 
Nani wanaungana Mkuu,juzi juzi tu UK(united Kingdom) imejitoa kwenye Umoja wa Ulaya,Kuungana kitu kizuri, waswahili wana sema "umoja ni nguvu".lakini kama umoja hauna manufaa unakuwa udhaifu,Muungano huu hauna tija kwa taifa,huu mungano haufai..

Mungano wa Tanganyika na Zanzibar unanufaisha kikundi cha watu fulani,yaani CCM hauna manufaa kwa Wazanzibari wala Watanganyika na ndio maana kila siku kero za Mungano hazishi...
 
Ni jambo rahisi mbona wala hauhitaji PhD kuelewa.
We don't need an Islamic State near our borders! Islamic States tend to be security nightmares!
We don't need Crusaders either,..Nimeona picha Magufuli,Ndugai wamevaa kanzu za kiislam,kwenye tafrija ya ubalozi wa Saudi Arabia,Nimecheke mpaka mbavu zimenibana,mkitaka kuomba misaada mnavalishwa kila kitu..😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…