Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

Ukitaka kujua nani anafaidika na muungano angalia ni nani ambaye anaung'ang'ania huo muungano
Sasa nyie nani kawang'ang'ania
Nyi ndy mnafaidika ndy maana viongozi wenu hawataki kuuachia muungano maana vitu vyote wanaiba bara kwa kisingizio Cha muungano
 
Sasa nyie nani kawang'ang'ania
Nyi ndy mnafaidika ndy maana viongozi wenu hawataki kuuachia muungano maana vitu vyote wanaiba bara kwa kisingizio Cha muungano
Wewe inaonyesha hata huo muungano huujui hebu Rejea maneno ya lukuvi aloyasema kanisani wakati wa bunge la katiba ndio utahamu nani anafaidika na huo muungano
 
Wadau wote tunajua Muungano wa Nchi mbili TANGANYIKA na ZANZIBAR ulizaa Nchi ya 3 ambayo ni TANZANIA.Kati ya hizo Nchi 3 Nchi 2 zipo lakini Nchi ya 3 HAIPO ambayo ni TANGANYIKA
Je kwanini HAIPO?
Je kwanini ZANZIBAR na TANZANIA ziwepo?
Je TANZANIA ndio imechukua nafasi ya TANGANYIKA?
 
Kama ulikuwa unaitwa Mashaka baada ya kuokoka na kubatzwa na kupatiwa jina la Yohana bado utaendelea kujiita Mashaka?
Ukishapita level fulani kama ni kielimu ulikua na Associate Professor baadaye ukatunukiwa kuwa Professor kamili bado utaendelea kuutafuta ule uzamani wako?
 
Yani hili suala ni pasua kichwa

Ni dude ambalo halieleweki kabisa Ila viongozi wanaling'ang'ania

Hovyo sana
 
Kama ulikuwa unaitwa Mashaka baada ya kuokoka na kubatzwa na kupatiwa jina la Yohana bado utaendelea kujiita Mashaka?
Ukishapita level fulani kama ni kielimu ulikua na Associate Professor baadaye ukatunukiwa kuwa Professor kamili bado utaendelea kuutafuta ule uzamani wako?
Maelezo mengi ya nini mkuu? Sema Tanganyika ndio Tanzania
 
Napata wakati mgumu sana kuielewa hii Nchi yetu, Tanzania kwanini kuna serikali ya Zanzibar na Tanganyika, nini maana ya Muungano? Kama tumeungana kwanini Zanzibar iwe na Baadhi sheria ambazo Tanzania bara hatuziingilii?
 
Moto unazidi kupamba watanganyika wanazidi kuelewa na kugundua madhaifu ya huu Muungano usioeleweka.
Kauli mbiu: Tanganyika kwanza
 
Back
Top Bottom