Mutungirehi: mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

Kwa team hii ya Rwakatare,Mutingirehi na Ntinaoruho chama kimepata majembe mkoa mzima,hapa CCM wanaondoka asubuhi make huu ni utatu mtakatifu
 
Kwa team hii ya Rwakatare,Mutingirehi na Ntinaoruho chama kimepata majembe mkoa mzima,hapa CCM wanaondoka asubuhi make huu ni utatu mtakatifu

Nasikia mwenzetu Kajunju naye yuko bize kwa ajili ya kutaka jimbo la Nkenge kwa yule mama.
 
Namtakia kila la Kheri Kamanda Mtungireh ... Zama zake sisi wengine tulikuwa bado O level pale Ilboru, Namkumbuka sana Advocate Kamara alivyokuwa anatusimulia manjonjo ya huyo kamanda... Well, zama zile bado System ilikuwa ya mfumo wa chama kimoja Zaidi, haki za binaadamu zilikuwa hazilindwi sana ... bado hajachelewa, ananafasi ya kuweka tofauti kwa jamii yake ya kitanzania ....

Mkuu kumbe wewe umekumbana na zahma za losujaki(rip))aka chief na kitemango!!hahahaahahaha
 
Nilikuwa Karagwe wiki hii. Nimesikia Mutungirehi amehamia chadema na ana mpangi wa kugombea ubunge mwaka huu kupitia jimbi la Kyerwa.
 
Mtungirehi atikisa Kyerwa 2015, ccm matumbo joto sasa zaid afanya kweli kwenye mikutano ya chama jimbon
 
Nasikia mwenzetu Kajunju naye yuko bize kwa ajili ya kutaka jimbo la Nkenge kwa yule mama.

roysl mimi sigombei huko kwa watani zangu. kazi ni moja tu, kuifuta ccm mkoa wa kigoma na tabora nyumbani tutapata wabunge 4 toka ukawa
 
Benedicto Mtungilehi Mtachoka. Ni mhima wa Ruhita karibu na mabira wilaya mpya ya kyerwa(karagwe) .Ni mzuri kwa maneno hovyo sana kwa vitendo na ana unafiki mkubwa sana
Ni Mhima Mkuu au ,Mtusi wa Rwanda..!aliyekimbilia Kyerwa wakati wa Vita!!?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom