Baada ya hapo alimnyang'anyana pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.
Kwani ni wapi Diallo amemtusi Mzee Pombe?Sasa kichaa atateuaje mke wako nawe unakubali.Diallo ni lofa tu,akupaswa kumtusi Magufuri
Umeshapanic mataga pori.Wewe Lema na Lisu hamjachoka tu kulishwa vya bure na wazungu?
Sisi tulikuwa tunasema kuwa mwenyekiti wenu ni kichaa mkakataa sasa ujue Mungu ni mkubwa mtu wenu mwenyewe amekuja kuthibitisha hilo.Mwenyekiti wenu ana faili wapi?anakunywa hadi anaporomoka kwenye ngazi
Huenda anamaanisha yule mke wa Diallo hakuwa na sifa ya kupewa cheo hicho ila akabebwaMusukuma anamaanisha mke wake akipewa cheo na mtu basi huyo mtu ni ruksa kufanya uovu wowote hata akimshika matter core atatulia tu.
Kwaiyo wewe nawe unaamini Magufuri alikuwa kichaa?Kwani ni wapi Diallo amemtusi Mzee Pombe?
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.
Musukuma ameenda mbali zaidi kwa kusema Hayati Magufuli ameifanyia makubwa Kanda ya Ziwa ikiwemo daraja refu kuliko yote Afrika la Kagongo Busisi, ujenzi wa meli mpya, ujenzi wa viwanda vya dhahabu na SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Swali la msingi..alikua ni kichaa ama sio kichaa?
At least huyo unayemsema ingawa sijui kama ni Lipumba, Kabwe au wengine hawajawahi kupiga push up kuonyesha hali zao za kiafya.Mwenyekiti wenu ana faili wapi?anakunywa hadi anaporomoka kwenye ngazi