Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

sera za ukanda zilikuwa za CHADEMA, inakuwaje ccm inaendelea kuwavumilia wanasiasa ambao wanaonyesha wazi kabisa kuunga siasa za kuongoza nchi kwa misingi ya ukanda kama haka kajinga ka msukuma.
 
Msukuma bado hukwenda kwenye mada yenyewe.
Mada ni kuwa na file Mirembe Hospital.
Hana file toa vielelezo vya kubaini tamko la kwanza la Diallo kuwa sio kweli.
Lakini labda Msukuma hujachukulia uzito wa kuwa na File Mirembe.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba maamuzi yote ya muhusika kwa kipindi fulani yatakuwa na walakini (null and void),kama itadhibitika kuwa alikuwa na file,na hio sio habari njema kwa chama na serikali yake.
Hivyo Msukuma siyo mada nyepesi,pammoja na Diallo kuomba samahani but the dent is huge.
Nimemsikia Kate Kamba anatoa mipasho si hoja,pia nimesikia Kiongozi wa Vijana CCM bado anazurura wee bila kungata Diallo.
Na Bwana Msukuma ni vile vile.
 
2025 Najua Ccm Patachimbika
Mama Ajipange Haraka Asijepigwa Kama Hayati Thabo Mbeki
 
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.

Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.

Musukuma ameenda mbali zaidi kwa kusema Hayati Magufuli ameifanyia makubwa Kanda ya Ziwa ikiwemo daraja refu kuliko yote Afrika la Kagongo Busisi, ujenzi wa meli mpya, ujenzi wa viwanda vya dhahabu na SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.



Mungu aliekuinua na ukanena Vema Ndugu Comrade Msukuma akubariki sana sana. Usiishie hapo endelea kuisemea familia wasukuma daima ni haki yenu kumtetea na kumsemea vema Baba yetu John Pombe Magufuli. Kiroho bado yupo nasi.
 
Ni kweli alimteua mke mdogo was Diallo,Magreth John longino kuwa DED pale halmashauri ya wilaya ya Rombo,afu baadae akamtumbua bila ganzi. Ila sizani kama kumpa ukurugenzi hawara wake ilikuwa ni njia ya kumfunga mdomo. Mm nazan alimteua kutokana na uwezo wake
 
Mwenyekiti wenu ana faili wapi?anakunywa hadi anaporomoka kwenye ngazi
At least huyo unayemsema ingawa sijui kama ni Lipumba, Kabwe au wengine hawajawahi kupiga push up kuonyesha hali zao za kiafya.
 
Back
Top Bottom