Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
- Thread starter
- #81
Last edited by a moderator:
Am too old to do it....umri ushakwenda kaka! Na hata nilipokuwa kijana speed yangu ilikuwa ndogo sana I could not match their forward movements...ndo maana nilitulia na kujaribu kujifunza ili baadae hekima iwe inatawala. Kitu ambacho sijaweza kujifunza ni compromising my standards...that is never,lol!
Kyaiyembe, nasi tumeshajifunza ku-waplay around! tumeshajifunza mbinu zao na tumezijua, kilichobaki ni kuthubutuu na kusonaga mbele...as JK said, lol. By the way habari ya weekend?
Details zinatakiwa bombu.........baada ya kujua mustakabali wao na kuosoma wote nanyi huwa mnawa-play kivipi?
Umeona Rutashubanyuma, eeh? Yaani, hawa watu ni noma kabisaa. Halafu wana nyimbo nzuuri kama ndege wa asubuhi. Lol, unajikuta ushaangukia mtegoni hata bila kujitambua, heee! na wengine hata hela hawana, kwa ulagahi wao wa mapenzi, tuu waweza mpa kila ulichonacho, to be alarmed keshahamia kwa mwingine
Big Up!
Sasa naona mnaweza kama hamjasubiri kuwezeshwa katika hili.
Itanoga zaidi pale ikiwa She-Plyer vs He-Player,
Unajua kinachotoke baada ya hiyo movie?Mwe! una vituko weweee!
Ngoja tuone movie itakuwaje, nahisi itakuwa na mvutoo sana.
Anyways, mie nimeongea in general, coz wengi wamelizwa sana na hawa He-players, hadi wamekuwa sugu.
Ndo maana utasikia wanaume wenye nia kweli wanalalamika kuwa wanawake wengi ni wasanii na hawana mapenzi ya dhati. We unahisi ni nini hapo? Inamaanisha kuwa gals nao tumeanza kuwa players (SIO WOTE), ila usitegemee kupata mapenzi ya kweli pasipo kutoa mapenzi ya kweli. Hivyo ni bora wote tuwe players tuu, kila mmoja kwa namna yake
Usiniquote bana Rutashubanyuma...wataka details tena? wacha nkajipange ntakuja jibu hili ASAP. Stay tuned lol
Mwe! una vituko weweee!
Ngoja tuone movie itakuwaje, nahisi itakuwa na mvutoo sana.
Anyways, mie nimeongea in general, coz wengi wamelizwa sana na hawa He-players, hadi wamekuwa sugu.
Ndo maana utasikia wanaume wenye nia kweli wanalalamika kuwa wanawake wengi ni wasanii na hawana mapenzi ya dhati. We unahisi ni nini hapo? Inamaanisha kuwa gals nao tumeanza kuwa players (SIO WOTE), ila usitegemee kupata mapenzi ya kweli pasipo kutoa mapenzi ya kweli. Hivyo ni bora wote tuwe players tuu, kila mmoja kwa namna yake
Pole lakini usife moyo
Ukifa moyo waweza kuwa GOLD-DIGGER!
Uko sahihi kabisa!
Nimemkuta kwenye Thread moja ya [h=1]Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda[/h]Ukiingia huku waweza mkuta lakini nako naona kaingia mtini